Ujue ukweli kuhusu NASA

Ujue ukweli kuhusu NASA

Mleta mada fanya kazi upate hela ya kula kwanza, haya mambo ni makubwa sana kwa akili yako ndogo y kutafuta ugali.

Unakijua kisiwa cha Alaska? Kilikuwa ni kisiwa ch Russia kabla ya kuuzwa kwa Marekani na kinapakana na Russia. Kama dunia ni Flat inakuaje kiwe karibu na Urusi wakati urusi iko mashariki zaidi na chenyewe kipo west zaidi?
 
Niwe mkweli tu, ni bora kudanganywa na NASA kuliko mchizi wa Manzese.
 
Unakijua kisiwa cha Alaska? Kilikuwa ni kisiwa ch Russia kabla ya kuuzwa kwa Marekani na kinapakana na Russia. Kama dunia ni Flat inakuaje kiwe karibu na Urusi wakati urusi iko mashariki zaidi na chenyewe kipo west zaidi?
Huna akili.
 
Wewe ni wale wakristo brain washed kabisa na akina Kibwetere au Mchungaji Mackenzie akikuambia funga ufe uende Mbinguni naamini utafanya hivyo. Ongeza akili zako!
Kwahiyo unaamini DUNIA NI YAI? [emoji1787]
 
Unaijua ISS? ama nawewe kilaza? Ile ni aina ya chombo cha anga ambacho kimeundwa kwa ushirikiano wa USA na Russia pia na nchi zingine mnazoaminishwa ni maadui, je wajua kwanini?

Hao wote wanaopigana ktk media na propaganda zao kiuhalisia wanajuana na huwa wanafanya mambo kwa sababu.

Hii dunia ili iende sawa waliunda wao wenyewe matabaka na makundi ya kuitawala dunia, usishangae siku kusikia kuwa Russia ni tawi dogo la USA kuichunga dunia kwa upande wa siasa za kijamaa na USA yenyewe ni tawi la Uingereza ambalo limeundwa kuichunga mifumo ya kibepari na ulimwengu mzima, bila kusahau Uingereza ni tawi la Mroma kuichunga ulaya na afrika nzima, pia Roma hiyo ni tawi la Muisrael kuichunga jamii ya kIASIA+Arabu kiimani na kiuchumi[emoji1787][emoji1787].

Bado hamujaijua Sayansi ya Siasa za dunia nyie, hapa dunian hakuna maadui bali kuna wanafiki wanaounda matabaka, matabaka ambayo hutwangana na baadae huleta matokeo ambayo sasa ndio sababu za kuundwa kwa ajenda za hayo matabaka.

Hii dunia inaongozwa na kitu kimoja ambacho ndicho kimeunda haya matabaka ili dunia itawalike, palipo na umoja+amani hakuna Utawala wa Kihuni unaweza kuimarika hivyo ndivyo wanavyoamini wao hawa wahuni.

[emoji117]DEVIDE AND RULE[emoji1787][emoji1787].

hii Elimu wanaijua wachache sana, kwa hili jukwaa hata hao mnaowaita wajuaji haya mambo hawayajui maana nao wamejazwa upumbavu...

Tusome nje ya box
VERY GOOD.

Haya MANYUMBU yaliyosoma SENTI KAJAMBA hayawezi kuelewa hizi akili kubwa.

Wao ni KULA, KUJAMBA na kushabikia MPIRA WA YANGA.
 
Isijekuwa ww ndie unastahil kwenda milembe, msomi wa kwel husikiliza jambo huchuja na kutoa facts zake na sio kupanik wala kuhukum, toa facts acha UPUMBAVU
Hao ni MAZOMBI yaliyokwisha kuwa PROGRAMMED.

Hayaambiliki, ni kama CORRUPTED FILES.

Mtu kasoma JOGRAFE kwa miaka kumi alishakaririshwa DUNIA NI YAI, huwezi kumwambia vinginevyo.

Tena ukute ndio INJINIA WA MITARO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yooh!
 
Ni kweli kabisa watu hawajui kuwa hii dunia bado inasiri kubwa na inaongozwa na wahuni walioamua kuifanya dunia watakavyo.

Elimu tusomazo ni uongo by90%, how? Baada ya vita hizo mnazoita vita za dunia kumbe bi vita za wazungu, waliamua kuunda mifumo mipya ya kuicontrol dunia na kugawa matabaka na tawala mbalimbali bila kusahau milki na mipaka ya nchi, huku baadhi ya mambo ama elimu za baadhi ya mambo zikiwekwa kama elimu kwa baadhi ya watu kulingana na matabaka yao.

Na kuna mambo mtu wa kawaida hutakiwi kuyajua kwa mujibu wao, hivyo ni jukumu lao kuhakikisha bloodline ya watu walio kwnye circle ya kutokujua haya mambo waendelee kutoyakua tokea kuzaliwa mpka kufa na vizaz vyao vyote, ila tu kwa wale waliochaguliwa kuyajua hayo mambo ambao nao wako ktk hio circle ya kuyajuwa hayo mambo kulingana na level za kinguvu ktk uhusika wa hizi jamii za hawa wahuni.

Mambo ambayo wanatumia kuhakikisha mtu wa kawaida ama ambaye hayuko ktk circle ya kuzijua hizo elimu ni kupitia

[emoji117] Shule
mtoto anapozaliwa tu anapewa hizi elimu zetu za uongo uongo na historia za uongo kumfanya asitoke nje ya mfumo wa kimaisha wa kuujua ulimwengu kwa kumpandikiza mindset za kijinga na kitumwa za kuaminishwa kila jambo la kisayansi na technolojia za uongo.

[emoji117]dini, hapa ndipo walipowaweza watu na kuwakamata wengi kwa kuwaaminisha kuwa dini ndio chanzo cha mtu kumjua Mungu, na usipokuwa na dini basi wew ni mpagani na mtu wa motoni, hivyo dini zikawekwa kuwafanya watu watumwa wa agenda fulan zinazowafanya watu wawe limited kimawazo, kiakil, kiroho na kinguvu yaan wasifikir nje ya mifumo na mipaka ya dini(Mind-control) hivyo basi huu nao ni mtego ama gereza la kuwapofusha watu akili litumiwalo na hao wachache wasiotaka watu wasio ktk circle yao waujue ukweli nje ya hizi imani za kidini.

[emoji117]Media, hizi ni baadhi ya njia watumiazo kusambaza propaganda, uongo, uzushi, makala za uongo, historia za uongo, na mengi ya hovyo, lengo kuwafanya watu wasio wa mlengo wao kuaminisha yale waliyowadanganya tangu utoton kuwa ni kweli pia kuyakazia mafundisho yao ya uongo ya kidini na elimu zao za uongo,

[emoji117]Sanaa za muziki+mpira
Hapa hata sizungumzii kitu maana kuna watu hata humu hawawezi kuitaja mikoa 20 ya Tanzania lkn wanaweza kuwataja wachezaji wa kikosi kizima cha simba na yanga ambayo haina msaada ktk jamii zaidi ya kuwaweka bize na mambo ya msingi na kuwapotezea muda, hapa wale wahuni ndio wanaosapot vzr sana hiz mambo ya burudan kwa kuwafanya hawa watoa burudan kama kioo cha jamii na mifano ya jamii, hili lote ni kuifanya jamii isiyo ktk circle yao iwe bize na maupuuzi ya mamipira.

[emoji117]Nirudi kwenye point.
Baada ya hawa wahuni kuweka hii misingi yao ndipo sasa walioamua hata kuifanya jamii ione Dunia ama huu ulimwengu uko vipi na vitu vipi vinavyouunda huu ulimwengu.

Hushangai kwann USA+Russia+China n.k hizi nchi hazipatan lkn linapokuja suala la Technolojia ya Anga huwa wapo pamoja?, Jiulize kwanin, hawa wote kiukweli wanajuana vzr na hawa ndio maadui zetu wakuu ambao ndio waliosuka mipango ya uongo kuhusu Umbo la dunia na ramani nzima ya dunia bila kusahau Elimu nzima ya anga.

[emoji117] Dunia sio mviringo
[emoji117] Dunia haina mabara 7
[emoji117] Dunia inaundwa na bara moja tu ambalo ni Afrika na hayo mengine waitao mabara ni vijisehem vya ardhi vilivyomeguka ktk Bara la Africa hapo zamani(Pangea) na kuunda viji ardhi vingine.
[emoji117] Dunia haizunguki wala haitembei, bali jua ndilo huizunguka dunia pia mwezi vivyo hivyo.
[emoji117] Jua sio nyota wala jua haliko umbali waliotuaminisha, vile vile jua ni dogo kulko hata umbo la dunia.
[emoji117]Hakuna chombo chochote kilichowai kutoka ktk anga la dunia, wala hakuna aliyewai kutoka nje ya anga la dunia, hata hizo parachuti zao wanazoziita satellite zinaelea ktk anga hili hili na si nje ya anga la dunia, kwanin? Kwasababu hicho kitu wanachoita space, ni uongo na elimu nzima kuhusu Gravitation force ni uongo na uzushi uliotungwa kutetea elimu ya uongo.

[emoji117]hiyo michezo yao ya kurusha satellite nje ya dunia haijawai kufanikiwa wala hiyo michezo ya kurusha rocket nje ya dunia haijawai kufanikiwa zaid ya kuangushwa huko mnakoita bahar ya shetan a.k.a Bermuda triangle [emoji1787][emoji1787].

[emoji117]pia hata zile picha za sayari na mwezi mnazoaminishwa , zile nazo zimetengenezwa hapa hapa dunian huko majangwa ya Arizona na area51 ambako hawataki mtu yeyote aingie kwa kuwaisha kuwa kuna aliens kumbe kuna makambi ya kijeshi kulinda studio zao za kutengeneza mapicha yao ya uongo kuhusu dunia.

[emoji117]Hii michezo inajulikana na wengi tu hata wao wanajua ni wengi wanajua basi tu Nguvu waliyoitumia kuwaaminisha UONGO, watu wengi tangu utotoni NGUVU HIYO ni ngumu sana kupindua meza na uongo wao kuwa peupe, ndiomaana hawaishi kuleta uzushi wa kuendelea kuutetea uongo wao.

Niishie hapa watu wasiopenda kujifunza nje ya box watachanganyikiwa bure[emoji1787].
View attachment 2601925
Very good.

Mwaga mchele angalau haya MANYUMBU yadonoe donoe kidogo.
 
Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars.
Doh!
Kama ubao eeh?
Upande wa pili wa huo ubao kuna nini?!!

Cult huanza kwa imani tatanishi zitokanazo na maelezo tata kama ya huu uzi
 
Uchambuzi usio na references ni bure. I bet you don't have both geographic and physics knowledge at all.
 
Kwahiyo unaamini DUNIA NI YAI? [emoji1787]
Siamini tu bali najua kuwa dunia ni duara kama ulivyo mwezi, jua na sayari. Visivyo na umbo duara huko angani ni small heavenly bodies kama comets na asteroids ambazo hazina muda mrefu tangu ziwe formed. Sayari zipo nyingi na nyingine huonekana kwa macho matupu anga likiwa clear.
 
Nimecheka sana coz jana tu nimetoka kukagua madaftari ya dogo nikakutana na evidences to prove the sphericity of the planet Earth. Sasa tupe na za kuonesha dunia ni flat tukuamini mbwa wewe.
 
Halafu unajiita wakili...!?
Acha Law School wawalambe vichwa tu.
 
Wewe ni wale wakristo brain washed kabisa na akina Kibwetere au Mchungaji Mackenzie akikuambia funga ufe uende Mbinguni naamini utafanya hivyo. Ongeza akili zako!
Mimi genius.
 
Back
Top Bottom