Ujue ukweli kuhusu NASA

Ujue ukweli kuhusu NASA

Heshima kwenu wote humu ndani.

Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic Missile.

Unavyoona wanarusha rocketi kwenda mwezini jua kabisa sio rocketi bali ni makombora ya masafa marefu.

Hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga mwezini hata siku moja,zile picha na video zinazo onyesha wanasayansi wanaelea angani jua kabisa kua ni CGI, yaani Computer Generated Images.

Kaa ukijua kua NASA ni taasisi ya siri ya jeshi la Marekani na ni sehemu ya ku-testia makombora ya masafa marefu yaani Inter Continental Balistic Missile,ICBM.

Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars.

The Earth is Flat.No one has ever been to the moon.Sayari nyingine zote ni uongo wa NASA, sayari ni moja tu nayo ni dunia na ndani yake vilivyomo ni jua,mwezi na nyota tu, usidanganywe kua kuna sayari nyingine angani.

Nakaribisha maswali

View attachment 2601396
So unataka kutuambia Galileo Galilei darubini aliyoitengeneza ilimdanganya? Ilikuwa Karne ya 15 hata kabla Marekani haikuitwa Taifa.
 
Heshima kwenu wote humu ndani.

Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic Missile.

Unavyoona wanarusha rocketi kwenda mwezini jua kabisa sio rocketi bali ni makombora ya masafa marefu.

Hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga mwezini hata siku moja,zile picha na video zinazo onyesha wanasayansi wanaelea angani jua kabisa kua ni CGI, yaani Computer Generated Images.

Kaa ukijua kua NASA ni taasisi ya siri ya jeshi la Marekani na ni sehemu ya ku-testia makombora ya masafa marefu yaani Inter Continental Balistic Missile,ICBM.

Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars.

The Earth is Flat.No one has ever been to the moon.Sayari nyingine zote ni uongo wa NASA, sayari ni moja tu nayo ni dunia na ndani yake vilivyomo ni jua,mwezi na nyota tu, usidanganywe kua kuna sayari nyingine angani.

Nakaribisha maswali

View attachment 2601396
Dini yako inakuharibu Wakili
 
Siamini tu bali najua kuwa dunia ni duara kama ulivyo mwezi, jua na sayari. Visivyo na umbo duara huko angani ni small heavenly bodies kama comets na asteroids ambazo hazina muda mrefu tangu ziwe formed. Sayari zipo nyingi na nyingine huonekana kwa macho matupu anga likiwa clear.
Huna akili.
 
Niwe mkweli tu, ni bora kudanganywa na NASA kuliko mchizi wa Manzese.
Kwahiyo mimi ni chizi manzese!
Nitakuvunja vunja kama mawe, nina hasira zaidi ya Simba,nikikukamata nikiwa na bastols yangu aina ya barreta, nitakukwanyua fuvu lote kama tulivyomfanyia rais Kennedy.
 
Hapa mzee umetudanganya... hata mtoto wa darasa la kwanza hadanganywi kizembe hivi
 
Kwahiyo mimi ni chizi manzese!
Nitakuvunja vunja kama mawe, nina hasira zaidi ya Simba,nikikukamata nikiwa na bastols yangu aina ya barreta, nitakukwanyua fuvu lote kama tulivyomfanyia rais Kennedy.
Hahahahah! unavyokasilika sasa, na hiyo bastola nani hana? na utampatia wapi?

TAFUTA PESA makasiliko sio solution.
 
wajinga Watakubishia ila hicho unachosema ni Ukweli wa Asilimia 100, Earth is Flat Na kuhusu kwenda mwezini nayo umesema ukweli hakuna aliyewahi kwenda mwezini wala hakuna mtambo wowote unaoweza kukanyaga mwezini.

Watu wasichokijua ni kwamba mwanadamu kapewa Leseni na Hati miliki ya kuzunguka hii dunia atakavyo ila Sio kwenda mwezini wala kweny Jua au nyota hiyo haiwezekani.

Hata kam watakupinga uzi mzima ila mi naujua huu ukweli kitambo sana na Nina evidence kibao sema naona uvivu kuanzisha uzi kuelezea hayo mambo maan ni Mengi mno sku nkifungua uzi ntakutag Ndugu yangu Wakili ila wakuamini kwa evidence wanazozitaka.
 
The Earth is Flat.No one has ever been to the moon.Sayari nyingine zote ni uongo wa NASA, sayari ni moja tu nayo ni dunia na ndani yake vilivyomo ni jua,mwezi na nyota tu, usidanganywe kua kuna sayari nyingine angani.
Hata kama ulikuwa unajaribu kumconvis mtu akuamini akifika hapa anaghair.
 
Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars..""
, ----____________________________
Yaan ulipofikia hapa nikashindwa Namna ya ku kupata ili nikusaidie haraka sana kukupeleka milembe, tukikuacha unaweza kuatarsha usalama wa majiran na Familia yako
NAKAZIA HAPA
 
Back
Top Bottom