Habari ndugu zangu wapendwa!
Hii mada inaweza isieleweke kwa baadhi ya watu!
Wengi wakisikia neno umeme wanawaza mitambo, nguzo, waya, transfoma n.k kwakweli vyote hivi hivi siyo Umeme!
Ukweli ni kwamba Umeme ni nishati au nguvu inayosafiri.
Swali? Binadamu anaweza kuwa na umeme?
Ni kweli kabisa binadamu kaumbwa na umeme, maisha ya binadamu yote yanaendeshwa na umeme kuanzia kuwaza, kutembea, kujamiiana n.k
Umeme ndani ya binadamu hutembea katika mishipa ya damu!
Katika mambo ya ajabu ambayo hutakuja kuambiwa popote ni haya hapa!
Mwili wa binadamu unatofautiana uhitaji wa umeme kulingana na sehemu ya mwili kwa sababu maalum.
Leo nitazungumzia umeme unaopatikana katika sehem za siri za mwanamke (ukeni)
Ukirejerelea elimu katika somo la sayansi-kimu katika shule ya msingi tuliwahi kujifunza kuhusu SUMAKU!
Wale tulioishia la saba nazani tunakumbuka katika SUMAKU kuna incha mbili! Kuna incha ya kaskazini + (N) na incha ya kusini - (S).
Umeme katika mkondo wa kawaida husafiri kutoka incha ya kaskazini kuelekea incha ya kusini
Kadri mzunguko wa umeme kutoka KAS+ kwenda KUS- hutengeneza kitu kingine kiitwacho MKONDO WA SUMAKU!
Umbo la uchi wa mwanamke linathibitisha mkondo wa sumaku ulivyo.
View attachment 3325332
Eneo la siri la uchi wa mwanamke huwa linazungusha umeme kutoka incha ya juu kuelekea incha ya chini na kuunda mkondo wa SUMAKU!
Mkondo huu wa nguvu za umeme katika mzunguko ndiyo unaoweza kuzalisha au kuharibu hatima ya mwanaume yoyote anaejamiiana na mwanamke!
Wengi wanaweza kuhoji SUMAKU hutengenezwa kwa madini, je katika uchi wa mwanamke hayo madini ya sumaku yanatoka wapi?
Ni kweli kabisa SUMAKU ni madini, lakini nendeni mkawaulize wataalam watawambia mwili wa binadamu pia umeumbwa na madini, kuna madini maalum kwa ajili ya mifupa (kashiam) ambapo wanaume tunayo mengi zaidi na ndiyo maana mifupa ni imara zaidi kuliko wanawake!
Yapo madini ya potashiamu, zinki n.k
Lakini katika mwili yapo pia madini ya NIKELI, CHUMA, na KOBATI ambayo hayo hupatikana kwa wingi sana hasa sehemu za siri za wanawake!
Madini hayo pia ndiyo malighafi kuu hata kwenye SUMAKU hizi tunazotumia na kwa hapa Tanzania unaweza kuyapata huko ngara (kabanga nickel) au kule Liganga!
Hivyo katika mwili wa binadamu yapo na huku afrika vyakula vyetu vingi vina madini hayo ambayo hukimbilia sehemu za siri za kina mama!
Sasa basi faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi
Miongoni mwa faida za mkondo wa sumaku katika uchi wa mwanamke kazi yake kubwa ni (kukuza au kuzidisha/kuongeza)
Umeme huo unaojipika katika uchi wa mwanamke unaweza kusafiri hadi kwa mwanaume kupitia tendo la ndoa!
Ukilala na mwanamke anaezalisha umeme mwingi kuliko mahitaji yako wewe mwanaume anaweza kuua au kupigisha short mifumo yako ya ndani ya umeme kwasababu ya kupokea umeme mwingi zaidi ya mahitaji yako (hili wataalam wa umeme tunanaita SAJI)
Saji ni ile hali ya kupokea umeme uliozidi mahitaji kwa ghafla jambo ambalo linaweza kuathili mtililiko wote wa maisha yako endapo likijirudia mara kwa mara. (Kuharibu mtiririko wa kiroho unaosafiri kupitia na damu yenye umeme uliozidishwa)
Unapojamiaana huwa kuna umeme unasafiri (Kubadilishana umeme wa kimwili)
Mwanamke anaezalisha umeme mwingi kuliko mahitaji ya mwanaume anaweza kabisa kupigisha shoti mifumo yote mhimu ya mwanaume hata kupunguza siku zake za kuishi.
Siyo kila mwanamke anafaa kwa mwanaume yoyote! Baadhi ya wanawake Umeme wao hauna kiwango unauwa!
Umeme huu hauna uhusiano na hisia za ukeni bali ni mtiririko wa nishati.
Mtiririko wa umeme katika mwili wa binadamu una njia kuu za kuupunguza (discharging point)
Seheme ya kwa kwanza ya kupunguza umeme unaozidi ni miguuni unapotembea pekupeku unaruhusu umeme ambao hauhitajiki kutoka kupitia miguuni kwenda ardhini kama ilivyo EARTHROD kwenge nyumba.
Njia ya pili ya kupoteza umeme katika mwili ni KUJAMIAANA! hapo ndipo shida kubwa huanzia.!...nitaandaa darasa maalum kupitia ukurasa wangu.
Naitwa Fundi Umeme SAMICO TANZANIA napatikana kwa namba 0711756341
UKITAKA KUISHI JIFUNZE KWANZA NJIA ZA KUFA.