Ujue umeme uliopo katika sehemu za siri za mwanamke na kazi zake

Noted
 
Somo lako ni tamu aana nimejaribu kufanya utafiti wa kimaandishi sehemu tofauti nikimshirikisha AL,kakataa hakuna umeme ktk sehemu za siri za mwanamke pia kakataa kuwa kuna sumaku kunako sehemu kadai ni hisia tu ndio zinazofufanya tuwapende wanawake na kuhusu umeme AL yeye kadai kwamba sehemu za uke zimeumbwa na neva nyingi aana zinazopitisha damu na kufanaya lile eneo lionekane kama lina umeme ila all the best umetupa mafunzo.
 
You trust AI that much?
 
Ukipata mwenye umeme na anafinyia Kwa ndani!
 
Kama taifa tunahangaika na mradi wa umeme wa mwl Nyerere Kumbe kuna watu wanatembea nao?
Tukamate wadada wote wa Kidimbwi na Kona bar tuwapeleke bwawa la mwl. Nyerere hafafu k zao zitumike kuzalisha umeme.
 
nimekuelewa mkuu,thanks kwa darasa,genZ hawawezi elewa
 
E~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…