Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

hili pambano ni kupotezeana mda jamaa anapigwa hilo halipingiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi wanaompuuza Mayweather . mfano: Pacquauo aliomba warudiane . Hataki na katangaza kustaafu. Au aende kwa Dogo Joshua kama hajatokwa jicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie ni mpenzi wa boxing na miaka yote tangu nipo mdogo nishakesha sana kisa haya mapambano makubwa
Mayweather ni boxer mzuri, in short ana techniques mbalimbali na ni mjanja mjanja.. Kwa wanaofananisha kina Mike Tyson na huyu jamaa basi hawajui ngumi, kwanza hawa ni uzito tofauti kabisa
Tatizo kuu ni kwamba game za sasa hivi zimekua usanii mtupu, Ile ladha ya ngumi imepotea umebaki usanii, Mayweather ni mjanja na anaangalia na mtu na mtu, hiyo game ya 27 kuna mawili
1) Iwapo akishinda basi utaichukia boxing moja kwa moja maana itakua kukumbatiana ili round zisogee then ya 6,7 au hata 10 ndo amkalishe mtu
2) Jamaa yupo kifedha zaidi so watu wanaamini atashinda kama Birdman lile pambano aliwema $1 million so this time anaweza kupigwa ili wengi waliwe pesa zao hivyo kutajirishwa sana yeye
Lolote linawezekana ila game la sasa halina mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngumi za uzito wa kuku,my weather anapigana ngumi au biashara,bondia muuza sura na vidola vyake uchwara awekw mezani.huyu angekutana na vyuma vizito km lenox lewis tungemsahau
 
nawasi wasi na uelewa wako, hamna anaepiga majungu,hapa naeleza kama mpenzi wa ngumi kilichopo nyuma ya ngumi hizo,siku nyingine kama huna cha kuongea wawezapita kimya,kwanza wapenzi wa ngumi washanielewa mda mrefu nnachomaanisha
Mi pia sijamuelewa huyo ndugu. Kama ndio hivyo basi tuache kuangalia Mpira, burudani na michezo mingine yote wala kuiongelea coz hela wanazoingiza hao wote c zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayweather umri wake umeenda sana ana 40 wakati Connor ana 28,kwa taarifa yako katika boxing umri haukuwahi kumwacha boxer salama!......akina Tayson walipigwa kwa sababu ya umri kusogea sana,Mayweather umri utampiga believe me!
 

Tatizo lako umeandika kiushabiki sana, ni kweli Mayweather ni undefeated but hakupata misuko suko kama ya kina tyson, Mapambano yake mengi ya Myweather alikuwa anapigana na watu ambao ni aged au ambao washapoteza zile nguvu mfano Pacquiao alikataa kupigana nae mara ya kwanza 2010 kwa sababu alimuhofia atampiga kaweka vikwazo viiingi kipindi hicho Pacman yupo on fire akaja kukubali baadae pacman kashaanza kupigwa na madogo hvyo hvyo kwa Dela hoya na wengineo,
halafu chengine usiende kupigana na Unknown enemy hicho mmarekani anakijua sana hapigani vita na nchi asiyojua atashindaje sasa mayweather anaenda kupigana na mtu ambaye hajui game plan yake aiset vipi, maana kama ingekuwa ni boxer mwengine angetumia tu video kuangalia weakness za enemy wake lakn kwa huyu Macgregor ni ngumu kwakwe kujua atatokeaje ulingoni, cha msingi nacho kiona kwa Mayweather atatumia experience tu na sometimes experience haitoshi kumaliza kazi.

for your info tu labda nikusaidie Professionally katika MMA Macgregor amepigana 24, 21 wins (18 times by knockout) 3 loses and he's just 29 yrs old.

Halafu round 4 za MMA usifananishe na boxing kijana vitu viwili tofauti wataalamu watakwambia so usimdharau Macgregor ukaona wa kawaida ila tukutane tu august 26 tushuhudie May weather akipewa kichapo kitakatifu
 
WEEE....BOXING NDO NIN...?ACHANA NA MMA BHANAAA....NDO MANA M2 WA BOXING HAWEZI THUBUTU MAISHA KUINGIA KWENYE CAGE YA MMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEEE....BOXING NDO NIN...?ACHANA NA MMA BHANAAA....NDO MANA M2 WA BOXING HAWEZI THUBUTU MAISHA KUINGIA KWENYE CAGE YA MMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukabana,kupigana mateke,kurukiana,kufinyana,kutekenyana,..nakadhalika,ndo unaona mchezo huo,..ogopa mtu aliezaliwa ku aim kichwa tuu,.,naiman wew si mjuz wa ndondi ndiomaana,..na mayweather ni boonge la businesman,yaan kawaaminisha watu kua anaeza kupigwa ili aje apige pesa za kufa mtu,si unaona beting znazoendelea sasa hiv,kumbetia tuu mayweather ni USD 8000,..akat kumbetia mcgregor ni USD 200,..sasa ndo utaona jins boxing ilivo tofaut na hyo MMA,
 
Mayweather ana miaka 40, sasa hiyo professional boxing ya miaka 30 alianza akiwa na miaka 10?
 
Ladha ya lugha inanitesa Mimi std 8 ni proffesional katika boxer au boxing mnatutesa sisi wengine jamani na wanapigana jumamosi SAA ngapi hasa kwa huku tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaahaaa....we ndo inaonekana ata kurusha ngumi hujui....may jr anauwezo mkubwa wa kushinda...ILA MIAKA 800 hawez thubuti kupambana kwenye cage ya UFC(ultimamate fighting championship)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…