Tofauti yangu na ww, wewe kwenye boxing unajua Mayweather tu vingine hujui, akati mwenzako kwenye MMA nafatilia WWE nafatilia nkFuatilia michezo mingine tu, ngumi hauzijui.
Kama kweli angekuwa ana maumivu ya bega aliwezejaje kunyoosha punches vile?
mimi takataka nyingine hizo sizijui na wala sizifuatilii.Tofauti yangu na ww, wewe kwenye boxing unajua Mayweather tu vingine hujui, akati mwenzako kwenye MMA nafatilia WWE nafatilia nk
Mkuu, wasiojua ngumi kama hako katoto kanachojiita Kanye 2016 ndio huwa wanasema Pac ameshinda lakini tunaojua ngumi tuna amini Floyd sio kashinda tu bali ilikuwa bado kidogo ampige kwa knockout Pac sema kilichomsaidia Pac ni mazoezi magumu sana na ukakamavu aliojijengea kabla ya kupanda ulingoni.Mayweather won the fight against Pacquiao fair and square. Mayweather is not a fighter but rather a Boxer, defensive, calculating, smart boxer. Most of the time he fight on backfoot, meaning he always going back until he saw you are weak, tired and then he strike, finish you off. He is not somebody who is exciting, powerful or finish people on first round.
He is not like Mike Tyson, Muhammad Ali, or Gennady Golovkin, He more like Lennox Lewis and Andre Ward, smart and bid his time until he see opportunity and take it.
Mkuu, wasiojua ngumi kama hako katoto kanachojiita Kanye 2016 ndio huwa wanasema Pac ameshinda lakini tunaojua ngumi tuna amini Floyd sio kashinda tu bali ilikuwa bado kidogo ampige kwa knockout Pac sema kilichomsaidia Pac ni mazoezi magumu sana na ukakamavu aliojijengea kabla ya kupanda ulingoni.
Halafu watu wanachoshindwa kumuelewa Floyd ni kwamba, Floyd anachukulia ngumi kama michezo mingine na kama pia biashara zingine na ndio maana mara nyingi anacheza kufata sheria zote za boxing na kujitahidi kupiga sehemu zitakazo mpa points nyingi huwa hachezi na mashabiki kamwe na ndio maana hajipigii pigii hovyo bali anakupiga kimpangilio kitu ambacho mashabiki wengi wanamuona kama hakati kiu yao.Mkuu, watu wengi wanafikiri ni mjinga , lakini siyo mjinga kabisa. Anatumia all media (socially, press, Tv, internet) kutengeneza pesa. He is very smart guy, ametengeneza pesa kuliko any boxer / fighter in the world. Yaani watu wanachanganya anavyofanya publicity with real businessman. Halafu anasaidia watu wengi (charity work, gym etc).
Roho mbaya hiyo ndiyo inayotuponza watanzania na wivu.Haujui ngumi.ngumi za akina tyson utazifananisha na za akina mayweather.mwenye matokeo ya kupangwa?anayechezea kumi kwa njaa zake.utachekwa.
Hawa jamaa wanashusha heshima ya ngumi.wenzio wapo kibiashara.ndo maana wakaliita MONEY FIGHT.
Sent using Jamii Forums mobile app
Joshua ni Heavy weight na Mayweather hayupo katika kundi hiloKwanini mayweather asipigane na anthony joshua au ni aina tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
12Upi muda sahihi wa pambano hili ni saa nane au saa 12
Kaka hii dunia sasa hivi kila kitu fake tu, Mayweather ana uhakika apigwe apige ila $100m inaingia kwenye akaunti yake benki.Na mbaya zaidi mayweather mwenyewe ndo promoter kupitia mayweather promotion,kwahiyo lazima amsifie jamaa lakini ukweli ni kwamba jamaa atakaa mapema tu.ni mtazamo wangu wapenzi wa ngumi mnaweza mkaongeza vitu hapa