Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

Hayaaa,msiojua ngumi na mlioanza kuangalia ngumi juzi mmeona sasa wataalam tulichokua tunaongea?..we mtu anapigana ngum za kushikana,kubebana,mateke,kutekenyana,..n.k unamweka ulingon na undefited champ,unategemea nin,lazma aombe poo,*****
 
Raundi ya tisa Jamaa aliishiwa nguvu,isitoshe ngumi zake hazikuwa na uzito kama za mayweather

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu watu wanachoshindwa kumuelewa Floyd ni kwamba, Floyd anachukulia ngumi kama michezo mingine na kama pia biashara zingine na ndio maana mara nyingi anacheza kufata sheria zote za boxing na kujitahidi kupiga sehemu zitakazo mpa points nyingi huwa hachezi na mashabiki kamwe na ndio maana hajipigii pigii hovyo bali anakupiga kimpangilio kitu ambacho mashabiki wengi wanamuona kama hakati kiu yao.

Halafu sidhani boxing kama ni kitu anachokipenda zaidi Floyd ndio maana humkuti akipost post hovyo masuala ya ngumi, yeye mara kwa mara anapost vitu Insta Gram vikimuonesha yupo batani tu akijivinjari na vimwana.

Ukitaka kuamini zaidi ngoja pambano lake dhidi ya Conor liishe halafu akabidhiwe pesa zake halafu uone ataongoza kupost picha zipi

Floyd mara kwa mara ana tabia ya kuwachukua malaya wamfurahishe baada ya kazi ngumu ya ulingoni, na hata akipost vitu vinavyohusu ngumi baada ya siku mbili lazima avifute.
Na leo baada tu ya pambano kawahi fasta kwy club yake "girls collections"
 
Kigezo kimoja wapo cha Mayweather kushindwa kupigana na Pacman 2010 ni mayweather alikuwa hataki Bob Arum awepo kwenye mazungumzo, ukiachilia uoga wake wengine wakutaka Pacman apimwe mkojo kila muda hilo pia lilihusika. Hata walivyopigana hivi majuzi pia alikuwa hataki Bob arum awepo lakini alichemka kumuondoa.

Hata kwenye mpira tuzo akipewa messi lazima ronaldo amsifie na kumpa hongera hvyo hivyo akipewa Ronaldo messi huwa anamtukuza Ronaldo ni kitu cha kawaida ila Maywether hakuna kitu pale lile ni Jipu na litatumbuliwa hiyo 26

Jibu nadhani umelipata leo raundi ya kumi alafu MAyweather hakumtaka Bob Arum kwa sasabu ya "dirty games" zake. Kutaka mtu achekiwe matumizi ya madawa kwenye mkojo sio uoga, ni akili. Kuna boxers wameshapigwa na POP ndani ya gloves. You have to check.

Anyway 50 - 0
 
hivi mnajua huko kwa kina MC gregor wanalipwa kiasi gani? unakuta bingwa analipwa $1m

UFC 214 salaries: Daniel Cormier earns double that of Jon Jones in defeat

then anakuja mtu anakwambia twende ukapigane ushinde upigwe minimum unapata $30m,

kwa mgawanyo unavyoendelea na mapato kukusanywa jamaa atapata zaidi ya $125m na floyd zaidi ya $375m

sasa fanya ulinganifu $125m na $1m anayoipata kule UFC.

sasa hivi jamaa kashawapiga gape wenzake, according to forbes namba mbili wa mcgregor anapata around $10 to 20m kwa mwaka mzima,

yeye wamemueka $20m hadi $100M inamaana tayari atleast ameshamzidi namba mbili wake mara 5.

These will be the 5 highest-paid UFC superstars in 2017

hili ni pambano la usanii na jamaa wamepiga sana hela, ndio maana jamaa licha ya kupigwa mwisho wa pambano alikuwa na furaha sana.
 
Kizazi cha sasa hakina boxers wenye uwezo mkubwa ndo maana Mayweather anatamba, angekuwepo kwenye generation ya akina Tyson na Lewis, 50 - 0 isingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizazi cha sasa hakina boxers wenye uwezo mkubwa ndo maana Mayweather anatamba, angekuwepo kwenye generation ya akina Tyson na Lewis, 50 - 0 isingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Tyson angepigana na Mayweather? Mkuu unajua boxing kweli au ndio nyie huwa mnadandia treni kwenye vivuko?

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Hayaaa,msiojua ngumi na mlioanza kuangalia ngumi juzi mmeona sasa wataalam tulichokua tunaongea?..we mtu anapigana ngum za kushikana,kubebana,mateke,kutekenyana,..n.k unamweka ulingon na undefited champ,unategemea nin,lazma aombe poo,*****
nimegundua hum kuna watu huwa wanabisha vitu wasivyovijua, kuna wengine huwa hatufuatilii mipira ila kwenye ngumi hututoi sasa tunavyozungumza kitu watu wanabisha,sasa angalia kilichofanyika jana halafu nukuuu na maneneo aliyokuwa anaongea mayweather kabla ya pambano, mayweather hata kwenye tour zote alizozunguka alikuwa anamuacha jamaa amdominate ktk kuongea na kujisifu ili kuwaaminisha watu kuwa anaweza akapigwa.sasa mchezo wa jana mayweather alirelax kabisa, hadi kuna mda alikuwa anacheka,kwanza alikuwa harudi nyuma kama mapambano yake yote ambavyo huwa anafanya,maana yake alizarau pambano. kweli ilikuwa easy work kwa mayweather.halafu hum inabidi tuanzishe uzi wetu wa wapenda ngumi tutakuwa tunaelewana sio kuchanganyikana na hawa wapenda bao halafu wanajifanya wanaongea vitu wasivyovijua
 
hivi mnajua huko kwa kina MC gregor wanalipwa kiasi gani? unakuta bingwa analipwa $1m

UFC 214 salaries: Daniel Cormier earns double that of Jon Jones in defeat

then anakuja mtu anakwambia twende ukapigane ushinde upigwe minimum unapata $30m,

kwa mgawanyo unavyoendelea na mapato kukusanywa jamaa atapata zaidi ya $125m na floyd zaidi ya $375m

sasa fanya ulinganifu $125m na $1m anayoipata kule UFC.

sasa hivi jamaa kashawapiga gape wenzake, according to forbes namba mbili wa mcgregor anapata around $10 to 20m kwa mwaka mzima,

yeye wamemueka $20m hadi $100M inamaana tayari atleast ameshamzidi namba mbili wake mara 5.

These will be the 5 highest-paid UFC superstars in 2017

hili ni pambano la usanii na jamaa wamepiga sana hela, ndio maana jamaa licha ya kupigwa mwisho wa pambano alikuwa na furaha sana.
Naomba kujua mchezo mzima ulitengeneza sh ngapi mpaka kuwalipa hizo hela, na faida kupatikana na ilikua ngapi?!
 
Kizazi cha sasa hakina boxers wenye uwezo mkubwa ndo maana Mayweather anatamba, angekuwepo kwenye generation ya akina Tyson na Lewis, 50 - 0 isingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app

kuna mabondia zaidi ya 10 ambao wamepigana bila kupigwa hasa hizi ngumi ambazo sio heavyweight, sababu hawa jamaa ni wepesi hakuna mtu mwenye nguvu ya kuamua pambano kirahisi, kama unajua unajua.

kabla ya floyd alikuwepo calzaghe huyu muingereza wa wales amepigana hadi kustaafu bila kupigwa, alikuwa ni bingwa wa middleweight na kipindi chake walikuwepo kina Tyson, Evander, Lenox Lewis etc

floyd angekuwepo kipindi cha tyson hata asingesikika sana, sasa hivi unamjua sababu marekani hawana kitu heavyweight, hivyo wanaupa sana promo uzito wa floyd, wazee wa media.
 
nimegundua hum kuna watu huwa wanabisha vitu wasivyovijua, kuna wengine huwa hatufuatilii mipira ila kwenye ngumi hututoi sasa tunavyozungumza kitu watu wanabisha,sasa angalia kilichofanyika jana halafu nukuuu na maneneo aliyokuwa anaongea mayweather kabla ya pambano, mayweather hata kwenye tour zote alizozunguka alikuwa anamuacha jamaa amdominate ktk kuongea na kujisifu ili kuwaaminisha watu kuwa anaweza akapigwa.sasa mchezo wa jana mayweather alirelax kabisa, hadi kuna mda alikuwa anacheka,kwanza alikuwa harudi nyuma kama mapambano yake yote ambavyo huwa anafanya,maana yake alizarau pambano. kweli ilikuwa easy work kwa mayweather.halafu hum inabidi tuanzishe uzi wetu wa wapenda ngumi tutakuwa tunaelewana sio kuchanganyikana na hawa wapenda bao halafu wanajifanya wanaongea vitu wasivyovijua
Kwel kabsa,..wanafananisha boxing na michezo ya ajabu,hawajui kua boxing ni mchezo hatar na ndo mchezo wa ngumi za kweli,..na wenye technique za hal ya juu..huyu dogo mayweather ni genius,anapigana modern boxing fights,sasa watu hawamwelew,.na ndomana amebak 50-0,sabab ana akil..et ooh anakimbia kimbia,..huyu anapiga relevant throws pekee,hapotez ngum hata 1,kila ngum yake inamaana.na anajua ku block na kukwepa,na kucheza na pumz,jana anasema ,walimsoma mcgregor kua anatumia sana nguv round zake za kwanza na kurusha makombora,sasa kumbe alikua anatumia nguv na kuchosha mwil,mwenzie akawa anamsubiria achoke,..mwisho wa siku jamaa pumz kwisha.floyd ndo kama akawa anaanza sasa,na angeachwa yule jana angeanguka asingeinuka tena,refa akamwokoa
 
Nasubiri kitu carnelo vs ggg (triple g) tarehe 17.09.2017 hapo hakuna kurembesha ni ngumi kwa ngumi
 
Back
Top Bottom