Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

Na Mayahudi wanasema: 'Uzair ni mwana wa Mwenyezi Mungu,' na Wakristo wanasema: 'Masihi ni mwana wa Mwenyezi Mungu.' Hayo ndiyo wasemayo kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"[/B]
[*]Aya hii inaeleza kwamba wale wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu kwa kumfanya Uzair au Masihi kuwa mwana wa Mwenyezi Mungu ni wakufuru, na Mwenyezi Mungu anawashutumu vikali.
Hapa tu. Huyo Uzair ni nani?
Na ni wapi Wayahudi walisema Uzair ni mwana wa Mungu? Ukiweka ushahidi wa hili tu, wallahi wabillahi nasilimu leo hii kabla halijazama jua topeni.
 
Uislamu umekuja baada ya miaka mingi ya masiah kupita na aliyeleta hakuwahi kufanya muujiza wowote
 
Mkuu afande aliyef*rwa Zanzibar anaitwa RAMADHANI.
Mwalimu aliyef*rwa Mtwara nae anaitwa RAMADHANI.
Wewe huogopi?
sio tatizo, tatizo liko wapi? kwani Padri wa VATIKAN alibakwa inamaana kabakwa Papa? au kabakwa Padri? akili zako zako zinakasoro gani? au una masongo wa mawazo?
 
Nyinyi wagalatia sijui mnakwama wapi mbona hata mimba ya Isaka ilipatikana pasipo kushiriki tendo la ndoa kati ya Ibrahim na Sara

Ni neno tu la Mungu Sara akapata mimba
melekisedeki amezariwa bila baba wala mama
 
Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa kumwamini na kumfuata Mwenyezi Mungu wa kweli, kama inavyofundishwa na Uislamu. Hapa kuna baadhi ya aya zinazozungumzia hasara ya kufuata dini nyingine:

Surah Al-Imran (3:85)

  • "Na anayefuata dini isiyokuwa ya Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye huko Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara."
  • Aya hii inaeleza wazi kwamba mtu yeyote anayefuata dini nyingine isipokuwa Uislamu hatakubaliwa na Mwenyezi Mungu, na atapata hasara Akhera.

Surah Al-Ma'idah (5:72)

  • "Kwa hakika wamekufuru wale waliosema: Hakika Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu, hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu na Mola wenu. Hakika mwenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu atamharamishia Pepo, na makazi yake ni Motoni. Na wala wenye kudhulumu hawatapata wa kuwanusuru."
  • Hapa, Quran inakemea wale wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu na kuwakataa kuwa wataingia motoni na watakosa msaada wowote.

Surah At-Tawbah (9:30)

  • "Na Mayahudi wanasema: 'Uzair ni mwana wa Mwenyezi Mungu,' na Wakristo wanasema: 'Masihi ni mwana wa Mwenyezi Mungu.' Hayo ndiyo wasemayo kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"
  • Aya hii inaeleza kwamba wale wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu kwa kumfanya Uzair au Masihi kuwa mwana wa Mwenyezi Mungu ni wakufuru, na Mwenyezi Mungu anawashutumu vikali.

Surah Al-Kafirun (109:1-6)

  • "Sema: Enyi makafiri! Siabudu mnachoabudu, wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. Wala sitaabudu mnavyoabudu nyinyi, wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. Nyinyi mna dini yenu, na mimi nina dini yangu."
  • Hapa, Quran inasisitiza tofauti za wazi kati ya Uislamu na dini nyingine, na inaonyesha kuwa wale wanaofuata dini nyingine wako katika upotovu.

Surah Al-Bayyinah (98:6)

  • "Hakika wale waliokufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina watakuwa katika Moto wa Jahannam kudumu humo. Hao ndio wabaya wa viumbe."
  • Aya hii inabainisha kuwa wale waliokufuru miongoni mwa watu wa Kitabu (Mayahudi na Wakristo) na washirikina watapata adhabu ya moto wa Jahannam milele.
Katika Quran, ujumbe ni wazi kwamba kuamini na kufuata Uislamu ni njia pekee ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu na kuepuka hasara ya Akhera. Wale wanaofuata dini nyingine wanaonywa kuhusu adhabu na hasara wanayoweza kupata kwa kutokufuata ukweli wa Uislamu.

FAIDA YA KUWA MUISLAM
Quran inatoa mwongozo na mafundisho mengi yanayoelezea faida za kuwa Muislamu. Hapa chini kuna baadhi ya aya zinazozungumzia faida hizo:

1. Amani na Utulivu wa Kiroho

  • Surah Ar-Ra'd (13:28):
    "Wale walioamini na nyoyo zao zikajaa utulivu kwa kumtaja Mwenyezi Mungu. Bila shaka kwa kumtaja Mwenyezi Mungu nyoyo hutulia."
    • Aya hii inaelezea kuwa kumtaja Mwenyezi Mungu huleta utulivu na amani ya ndani kwa Waislamu.

2. Mwongozo na Nuru

  • Surah Al-Baqara (2:257):
    "Mwenyezi Mungu ni mlinzi wa wale walioamini. Huwatoa gizani na kuwaingiza katika nuru. Na wale waliokufuru, walinzi wao ni mashetani. Huwatoa nuruni na kuwaingiza katika giza."
    • Mwenyezi Mungu huwapa Waislamu mwongozo na nuru, akiwatoa gizani na kuwaingiza katika mwanga wa haki.

3. Msamaha na Rehema

  • Surah Az-Zumar (39:53):
    "Sema: Enyi waja wangu mliojidhulumu nafsi zenu! Msiikate tamaa rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ndiye Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu."
    • Uislamu unatoa nafasi ya msamaha na rehema kwa wale wanaotubu na kumrudia Mwenyezi Mungu.

4. Malipo ya Pepo

  • Surah An-Nisa (4:57):
    "Na wale walioamini na kutenda mema, tutawaingiza katika mabustani yapitayo mito kati yake, wadumu humo milele. Humo watakuwa na wake walio takasika, na tutawaingiza katika kivuli cha kunyamaza."
    • Waislamu wanaoamini na kutenda mema wanapewa ahadi ya kuingia Peponi na kufurahia maisha ya milele yenye neema.

5. Heshima na Hadhi

  • Surah Al-Hujurat (49:13):
    "Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tukakufanyeni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni yule aliye mchamungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye habari."
    • Uislamu unahimiza heshima na hadhi kwa watu wote, na kuwa mtukufu mbele ya Mwenyezi Mungu ni kwa uchamungu na matendo mema.

6. Umoja na Undugu

  • Surah Al-Hujurat (49:10):
    "Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe."
    • Uislamu unasisitiza umoja na undugu miongoni mwa Waislamu, ambapo wanapaswa kusaidiana na kupendana.

7. Heshima kwa Wazazi

  • Surah Al-Isra (17:23):
    "Na Mola wako ameamrisha usimuabudu yeyote ila Yeye tu, na (ameamrisha) kuwafanyia wema wazazi wawili. Kama mmoja wao au wote wawili wakifikia uzee nao wapo pamoja nawe, basi usiwaambie hata ‘Ah!’ wala usiwakemee, na waambie maneno ya heshima."
    • Uislamu unafundisha heshima kubwa kwa wazazi na kuwatendea wema, hasa wanapokuwa wazee.

8. Kujiepusha na Madhara

  • Surah Al-Baqara (2:195):
    "Na toeni katika njia ya Mwenyezi Mungu, wala msijitumbukize kwa mikono yenu katika maangamizo; na fanyeni wema; hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema."
    • Uislamu unafundisha kujiepusha na mambo yanayoweza kusababisha madhara na kuhimiza kufanya wema.
Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr!
Hayo mashairi uliyo weka hata shetani anaweza kuyaghani
Muhammad aka allah Anasema ktk suratul tawba.30 kwamba!;
MWENYEZI MUNGU, Malaika Gabriel, YESU, na Wakristo woote duniani ni MAKAFIR SABABU YA KUSEMA "YESU NI MWANA WA MUNGU!"
👇👇
MWENYEZI MUNGU ANASEMA YESU NI MWANAE
👇👇
Matthew 3:17
[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

MALAIKA GABRIELI ANASEMA YESU NI MWANA WA MUNGU.
👇👇
Lk.1:26-32
26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

YESU ANASEMA YEYE NI MWANA WA MUNGU.
👇👇
Matthew 10:33
[33]Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni. Si Amani, Bali Upanga

Quran inasema hao Wanakufuru/makafiri.😳🤪
👇🏼👇🏼
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

(AT-TAWBA - 30)
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Kwa Mujibu wa Imani yangu muham mad aka allah, jiburilu, na waisilama woote duniani ni MAKAFIRI 🔥👍
 
🤣🤣🤣 Alimwita Nani??Yesu Akiwa Msalabani??Allah🤣🤣🤣Allah ni Mungu alieletwa Duniani na Muhamad. Miaka 650+ Baada ya Bwana Na Mokozi Wetu YESU Kristu kufa ,Kukufuka na Kupaa Mbinguni.

Mk 15:34 SUV​

Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
vipi hilo neno eloi linasound vipi ??? eloi =Allah
unamjua huyo eloi ?????? huyo ndo anapaswa kuabudiwa na siyo yesu mtumwa wa eloi
 
ushawahi kujiuliza kama tungetawaliwa na mchina au mjapan leo hii tungekuwa dini gani? acha hizo kijana dini ni tamaduni kama tamaduni nyingine tuu
 
hakuna Bible. Bible neno la UK , Wakati Yesu anakuja UK ikiitwaje?
Bible Muddy Kaikuta- akacopy na kucopy!! Muislam
Wa kwanza ni Muddy sio Adam wala Ibrahim.
Wajanja ni hawa -Mjomba ake Muddy Abu Talib na Abu Lahab.Walikataa Uislam mbele ya Muddy
 
Mtu alie zaliwa bila unaona wa Ajabu sana fungua akili kama Mungu alimuumba Adamu bila baba wala mama akanyanyua mbingu bila nguzo na kuitandika ardhi bila vigingi na kuotesha punje moja ya mbegu zikatoka nyingi kipi cha ajabu hapo alie fanya au alie fanywa na unatakiwa utambue ni watoto wa 3 walizaliwa kwa utabiri na majina yao yalitoka mbinguni
-Isaak
-Yohana
-Yesu
Bora Muhamad hayupo😁
 
🤣🤣🤣 Alimwita Nani??Yesu Akiwa Msalabani??Allah🤣🤣🤣Allah ni Mungu alieletwa Duniani na Muhamad. Miaka 650+ Baada ya Bwana Na Mokozi Wetu YESU Kristu kufa ,Kukufuka na Kupaa Mbinguni.

Mk 15:34 SUV​

Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Sasa kama hujui YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!
👇👇
IMEANDIKWA KABLA YA muhammad Wala Quran KUWEPO!
👇🏼👇🏼
يوحنا 1: 1-4، 14
[1] في البدء كان الكلمة، والكلمة كان عند الله، وكان الكلمة الله.

[2] في البدء كان عند الله.

[3] حدث له كل شيء؛ وبدونه لم يحدث شيء مما تم.

[4] فيه كانت الحياة، وكانت الحياة نور الشعب.

[14] والكلمة صار جسدا وبقي معنا. ورأينا مجده مجدا كما لوحيد من الآب. وهو مملوء نعمة وحقًا.

8 قال له فيلبس يا سيد أرنا الآب يكفينا.

9 قال له يسوع: «أنا معكم هذه الأيام كلها، أما تعرفني يا فيلبس؟» الذي رآني فقد رأى الآب. فكيف تقول أرنا يا أبانا؟

yuhanaa 1: 1-4, 14
[1] fi albad' kan alkalimatu, walkalimat kan eind allahi, wakan alkalimat allahu.
[2] fi albad' kan eind allahi.
[3] hadath lah kulu shay'a; wabidunih lam yahduth shay' mimaa tama.
[4] fih kanat alhayaatu, wakanat alhayaat nur alshaeb.
[14] walkalimat sar jasadan wabaqi maena. wara'ayna majdah majdan kama liwahid min alab. wahu mamlu' niemat whqan.
8 qal lah filbas ya sayid 'arna alab yikfina.
9 qal lah yasuea: <<ana maeakum hadhih al'ayaam kullha, 'ama taerifuni ya filibis?>> aladhi rani faqad ra'aa alab. fakayf taqul 'arnan ya 'abana?

John 1:1-4,14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.

[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Tatizo la Waislamu ni kumjadili YESU AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UBINADAMU KAMILI! JN.1:14!
HAWANA HOJA ALIPO KUWA MUNGU KAMILI! "NENO" JN.1:1

TAMKA SASA MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI ILI UJIPE WEPESI WA KUFA KAFIRI!

لا يوجد إله يمكن أن يُعبد بالبر إلا يسوع ورسوله بولس!
تكبير المسيح أكبر

la yujad 'iilah yumkin 'an yuebd bialbiri 'iilaa Yasue warasulih Bulis!💪👍
takbir ✊🏼 alMasih 'Akbar 👊🏼
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILA YESU NA PAULO MTUME WAKE!💪👍
TAKBIR ✊🏼YESU AKBAR 👊🏼
 
Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr!
Hayo mashairi uliyo weka hata shetani anaweza kuyaghani
Muhammad aka allah Anasema ktk suratul tawba.30 kwamba!;
MWENYEZI MUNGU, Malaika Gabriel, YESU, na Wakristo woote duniani ni MAKAFIR SABABU YA KUSEMA "YESU NI MWANA WA MUNGU!"
👇👇
MWENYEZI MUNGU ANASEMA YESU NI MWANAE
👇👇
Matthew 3:17
[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

MALAIKA GABRIELI ANASEMA YESU NI MWANA WA MUNGU.
👇👇
Lk.1:26-32
26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

YESU ANASEMA YEYE NI MWANA WA MUNGU.
👇👇
Matthew 10:33
[33]Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni. Si Amani, Bali Upanga

Quran inasema hao Wanakufuru/makafiri.😳🤪
👇🏼👇🏼
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

(AT-TAWBA - 30)
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Kwa Mujibu wa Imani yangu muham mad aka allah, jiburilu, na waisilama woote duniani ni MAKAFIRI 🔥👍

Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr!
Hayo mashairi uliyo weka hata shetani anaweza kuyaghani
Muhammad aka allah Anasema ktk suratul tawba.30 kwamba!;
MWENYEZI MUNGU, Malaika Gabriel, YESU, na Wakristo woote duniani ni MAKAFIR SABABU YA KUSEMA "YESU NI MWANA WA MUNGU!"
👇👇
MWENYEZI MUNGU ANASEMA YESU NI MWANAE
👇👇
Matthew 3:17
[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

MALAIKA GABRIELI ANASEMA YESU NI MWANA WA MUNGU.
👇👇
Lk.1:26-32
26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

YESU ANASEMA YEYE NI MWANA WA MUNGU.
👇👇
Matthew 10:33
[33]Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni. Si Amani, Bali Upanga

Quran inasema hao Wanakufuru/makafiri.😳🤪
👇🏼👇🏼
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

(AT-TAWBA - 30)
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Kwa Mujibu wa Imani yangu muham mad aka allah, jiburilu, na waisilama woote duniani ni MAKAFIRI 🔥👍
nashangazwa na namna unachofikr !
lete ushahid kuwa Qurani inasema yesu kafir, ????
wakiristo ndio makafiri,
na pia, kusema yesu mwana wa mungu hakutoi haki ya yeye kuabudiwa, kwa sababu yesu anatoa ufafanunuzi wa neno mwana wa mungu nn maana yake,
" maana wa mungu ni wale wanaofuata maelekezo ya mungu, wale wanamuamini yesu kwa kufuata mafundisho yake you ya kumuabudu mungu na wakamwabudu mungu kwa usahihi hao ndio wana wa MUNGU, na sio kwamba mungu kazaa na binti mariam,

ata yesu mwenyewe walipomuuliza unatafutwa na ndugu zako, alijibu ndugu zake ni wale wanaofuata mafumdisho aliyokuja nayo, nayo ni kumuabudu mungu mmoja wa pekee,
kwa hiyo ata wew ungefuata maamrisho ya mungu ungeitwa mwana wa mungu, kwa vile hufuati ni KAFIRI
 
Quran inasisitiza kwamba Mwenyezi Mungu ndiye muongozaji wa kweli na pekee. Ni Yeye anayewapa watu mwongozo wa haki na kuwaelekeza katika njia ya sawa. Hapa kuna baadhi ya aya zinazothibitisha kwamba Mwenyezi Mungu ndiye wa kuongoa:

1. Surah Al-Qasas (28:56)

"Hakika wewe (Mtume Muhammad) huwezi kumuongoza umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humuongoza amtakaye, naye ndiye anayewajua zaidi wanaoongoka."

  • Aya hii inaeleza kuwa hata Mtume Muhammad (S.A.W) hawezi kumuongoza yeyote kwa mapenzi yake mwenyewe, bali ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayemuongoza anayeona inafaa.

2. Surah Al-Baqarah (2:272)

"Si juu yako wewe kuwaongoa, bali Mwenyezi Mungu ndiye anayemuongoa amtakaye. Na kheri yoyote mnayoitoa basi ni kwa ajili ya nafsi zenu. Wala msitoe ila kwa kutaka Uso wa Mwenyezi Mungu. Na kheri yoyote mnayoitoa mtalipwa sawasawa, wala hamtadhulumiwa."

  • Hii inaonyesha kuwa jukumu la uongofu si la wanadamu bali ni la Mwenyezi Mungu pekee.

3. Surah Yunus (10:25)

"Na Mwenyezi Mungu huwaita kwenye nyumba ya amani, na humuongoa amtakaye kwenye njia iliyonyooka."

  • Aya hii inasisitiza kwamba Mwenyezi Mungu anawaalika watu kwenye njia ya amani na ni Yeye anayemuongoza yeyote kwenye njia iliyonyooka.

4. Surah An-Nahl (16:93)

"Na Mwenyezi Mungu angeli penda angeli kufanyeni umma mmoja. Lakini humuacha amtakaye kupotea na humuongoa amtakaye. Na hakika mtaulizwa juu ya mliyo kuwa mkiyatenda."

  • Hii inaonyesha kwamba Mwenyezi Mungu ndiye anayemuongoza mtu na pia ndiye anayemuacha kupotea kwa hekima Yake.
qaraa ni Maneno ya nani?🎤
 
nashangazwa na namna unachofikr !
lete ushahid kuwa Qurani inasema yesu kafir, ????
wakiristo ndio makafiri,
na pia, kusema yesu mwana wa mungu hakutoi haki ya yeye kuabudiwa, kwa sababu yesu anatoa ufafanunuzi wa neno mwana wa mungu nn maana yake,
" maana wa mungu ni wale wanaofuata maelekezo ya mungu, wale wanamuamini yesu kwa kufuata mafundisho yake you ya kumuabudu mungu na wakamwabudu mungu kwa usahihi hao ndio wana wa MUNGU, na sio kwamba mungu kazaa na binti mariam,

ata yesu mwenyewe walipomuuliza unatafutwa na ndugu zako, alijibu ndugu zake ni wale wanaofuata mafumdisho aliyokuja nayo, nayo ni kumuabudu mungu mmoja wa pekee,
kwa hiyo ata wew ungefuata maamrisho ya mungu ungeitwa mwana wa mungu, kwa vile hufuati ni KAFIRI
Nimekuwekea Ushahidi suratul tawba.30!
👇👇
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

(AT-TAWBA - 30)
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Tatizo Linu ni kukaririshwa madrasa Kwa bakora za makalio na vitishi!
YESU ANASEMA YEYE NI MWANA WA MUNGU
👇👇
Matthew 15:13
[13]But he answered and said, Every plant, which my heavenly Father hath not planted, shall be rooted up.
Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa.

Kwa Mujibu wa suratul tawba.30 yeyote mwenye Itikadi Kuwa YESU ni Mwana wa Mungu ni kafiri!
Dhahir eeh!
 
nashangazwa na namna unachofikr !
lete ushahid kuwa Qurani inasema yesu kafir, ????
wakiristo ndio makafiri,
na pia, kusema yesu mwana wa mungu hakutoi haki ya yeye kuabudiwa, kwa sababu yesu anatoa ufafanunuzi wa neno mwana wa mungu nn maana yake,
" maana wa mungu ni wale wanaofuata maelekezo ya mungu, wale wanamuamini yesu kwa kufuata mafundisho yake you ya kumuabudu mungu na wakamwabudu mungu kwa usahihi hao ndio wana wa MUNGU, na sio kwamba mungu kazaa na binti mariam,

ata yesu mwenyewe walipomuuliza unatafutwa na ndugu zako, alijibu ndugu zake ni wale wanaofuata mafumdisho aliyokuja nayo, nayo ni kumuabudu mungu mmoja wa pekee,
kwa hiyo ata wew ungefuata maamrisho ya mungu ungeitwa mwana wa mungu, kwa vile hufuati ni KAFIRI
Hivi Vibuyu ndani ya Kaaba Macca vina kazi gani?? Na hili jiwe
 
Attachments

  • IMG_9713.png
    IMG_9713.png
    101.2 KB · Views: 3
  • IMG_9657.png
    IMG_9657.png
    104.1 KB · Views: 2
  • IMG_9712.png
    IMG_9712.png
    119.5 KB · Views: 3
  • IMG_9715.jpeg
    IMG_9715.jpeg
    80 KB · Views: 3
Back
Top Bottom