Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Sasa Unaweza ukajiuliza, Askari wa JWTZ anajigeuza Askari wa usalama barabarani, just because ana power 😠🚮
 
Tukiamua ku deal na nyie tunaweza ila tusifike huko.
Umeandika mengi ya msingi ila hapa... umepuyanga.

Kwanza POLE sana kwa kupigwa vibao/Makofi/Mbata na wajeda.


Hawa jamaa wanajiona wamemaliza kila kitu. Na shida wanaipata wakisha staafu. Wanarudi kwenye jamii. Jamii muda huo ishawatenga.
 
Vita ikija hata ww si unaumia unazani utapata huo mda wa kumpa askari chakula au maji ya kunywa. Utapata wap kwanza huo msosi wa kumpa askari. Vita ikija itahusu raia na askari wao. Au utakaa kimya uwaache wafanye walichosomea
 
Nimelike kabla sijamaliza kusoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
na nyie raia acheni ujeuri tuheshimiane.
tumeyasikia maoni yenu, tumwyapokea tutuyafanyia kazi kadiri inavofaa.
Wajeuri hawawezi kukosekana, na Kukosea au kuikosea sheria hakutoisha. Tunacho taka kuona kama raia ni kufuata sheria katika kuwajibishana, sio kwa sababu mimi ni flani na nimeona umekiuka sheria au umenikosea ninaamua kukuazibu kulingana na Utashi wangu.

Hii haikubaliki kwa kundi lolote la kijamii
 
Sawa mkuu tumekuelewa
 
Daktari ngoja niendelee kumshawishi aje mimi nauli ya kutoka alipo nitalipa .
Incase kipigo utakachompa kitasababisha kupewa matibabu makubwa basi mimi najitolea kumihudumia kwa gharama zozote na kutumia ujuzi wangu mpaka apone .

Elias K njoo umjibu daktari ashaweka meeting point nakusubiri wewe tu kujua kama uko tayari ili nitume hela ya nauli ili pambano likapigwe huko .

Nb.Nitakuwepo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nawachapaga makofi.

Arusha wapo wanajeshi kibao. Ubabe wao wakafanyie kwingine, si kwangu.

Nawapiga makofi alafu nampigia Mkuu wao. Nimemchapa askari wako kwa sababu moja mbili tatu.

Wanatia akili.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…