Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Mwafrika wa Kwanza mwanamke kushika nafasi hiyo tangia kuumbwa kwa ulimwengu na kuanzishwa kwa umoja huo.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter maarufu kama X ameandika ujumbe ambao umewaweka njia panda wasomaji wengi.ambapo kila mmoja katika kutoa maoni yake amejikuta akitoa maoni yake tofauti tofauti na halijapatikana jibu la moja kwa moja ya nini Mheshimiwa Speaker alimaanisha.
Maana ni ujumbe ambao hauna maelezo ya ziada kwamba unaweza kuunganisha dot na kupata maana wala huwezi ukatolea maelezo juu ya alichomaanisha. Maana wengi wamebaki gizani. Ujumbe wenyewe ni huu hapa 👎
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.