Maada umeisoma? IPO SIKU , Mimi kwa mtazamo wangu anasema ipo siku atasilimu, sasa kama unawazo jengine tofauti na hili andika lako, kama IPO SIKU atakuwa mtawaKwamba mtu akivaa hivyo ni Muislam!? Huo ni utamaduni wa watu wa mashariki (waarabu) na wanavaa wote wakristo kwa waislam maana ni utamaduni na si dini.