Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

Haha 😂. Hiyo account sio ya sabuufa. Bali inatumika na chizi Fulani hivi
 
Wanaojua kusoma,. kutafakari na kumaizi uandishi wamethibitisha kebehi zako kwa viongozi mbalimbali, through sifa lukuki zilizopitiliza,, ambazo wenzio waneziita sifa za kijinga.
Na ndiyo maana hateuliwi,halafu mwenyewe anajiona anaandika madini kumbe ni utumbo unaowachefua wateuzi. Huyu jamaa ni mshamba sana halafu akirekebishwa anashupaza shingo. Aliyemdanganya kuwa teuzi zinapatikana hivi kamuingiza chaka.
 
Ningekuwa Kiongozi, ukanijazia matakataka ya sifa hata nisiyokuwa nayo, ningekuonya au kukufundisha adabu.
 
Na ndiyo maana hateuliwi,halafu mwenyewe anajiona anaandika madini kumbe ni utumbo unaowachefua wateuzi. Huyu jamaa ni mshamba sana halafu akirekebishwa anashupaza shingo. Aliyemdanganya kuwa teuzi zinapatikana hivi kamuingiza chaka.
Kaa pembeni na akili yako kisoda hiyo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Mwafrika wa Kwanza mwanamke kushika nafasi hiyo tangia kuumbwa kwa ulimwengu na kuanzishwa kwa umoja huo.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter maarufu kama X ameandika ujumbe ambao umewaweka njia panda wasomaji wengi.ambapo kila mmoja katika kutoa maoni yake amejikuta akitoa maoni yake tofauti tofauti na halijapatikana jibu la moja kwa moja ya nini Mheshimiwa Speaker alimaanisha.

Maana ni ujumbe ambao hauna maelezo ya ziada kwamba unaweza kuunganisha dot na kupata maana wala huwezi ukatolea maelezo juu ya alichomaanisha. Maana wengi wamebaki gizani. Ujumbe wenyewe ni huu hapa 👎View attachment 3176488

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Iko siku machawa mtapigwa Pumbu
 
Acha ujinga wako hapa wewe.kwani wewe hutakufa?
Tutakufa wote mpaka watekaji na wasiojulikana watakufa na watazikwa na wataacha vyote walivyo iba kudhulumu na kutesa watu. Afu ujinga ni nini..? Sema matekaji yatakufa vibaya sana mwanawane. Na machawa nyie mtakufa kifo cha kutisha.
 
Back
Top Bottom