CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Wewe huna akili kabisaaaaa ndiyo maana huteuliwi mbwiga weweKaa pembeni na akili yako kisoda hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna akili kabisaaaaa ndiyo maana huteuliwi mbwiga weweKaa pembeni na akili yako kisoda hiyo
Acha moshi dogo.Uganga umeanza kumkataa
Hivi unaweza vipi kujilinganisha na mtu mwenye akili kubwa kama mimi? Unafananisha mlima na kichuguu? Mimi ni mlima mrefu sana .wewe uwezo wako wa kufikiri huwezi kunifikia hata kidogooWewe huna akili kabisaaaaa ndiyo maana huteuliwi mbwiga wewe
Mbona wewe hujatekwa?Tutakufa wote mpaka watekaji na wasiojulikana watakufa na watazikwa na wataacha vyote walivyo iba kudhulumu na kutesa watu. Afu ujinga ni nini..? Sema matekaji yatakufa vibaya sana mwanawane. Na machawa nyie mtakufa kifo cha kutisha.
Kwani nani kakwambia kuwa hana WatotoIko siku atapata mtoto.
Nenda na wewe ukaroge kama inawezekana na huo ujinga wako.Kubebwa na uchawi, na kwa mfumo wa ccm hata wewe unawezakufika huko
Kweli katika fani ya uchawa unanizidi kwa asilimia zote. Utasugua sana benchi teuzi ni kwa wenye chama tu wewe ni kidampa akujue nani.Hivi unaweza vipi kujilinganisha na mtu mwenye akili kubwa kama mimi? Unafananisha mlima na kichuguu? Mimi ni mlima mrefu sana .wewe uwezo wako wa kufikiri huwezi kunifikia hata kidogoo
Bila ushirikina CCM hutoboiAcha moshi dogo.
Naona unahangaika sana juu ya uteuzi wangu.Kweli katika fani ya uchawa unanizidi kwa asilimia zote. Utasugua sana benchi teuzi ni kwa wenye chama tu wewe ni kidampa akujue nani.
Ushirikina ungekuwepo CCM tungekuwa tumekuroga zamani sanaa maana huna akili na ni hasara kwa Taifa kuendelea kuvuta hewa safi wakati kuna wagonjwa wanahitaji hewa hiyoBila ushirikina CCM hutoboi
Makonda kasema juzi Samia analogwa na wana CCM mbona hukupinga?Ushirikina ungekuwepo CCM tungekuwa tumekuroga zamani sanaa maana huna akili na ni hasara kwa Taifa kuendelea kuvuta hewa safi wakati kuna wagonjwa wanahitaji hewa hiyo
Iko siku atadanja wahuni walichokua wanasema baada ya ile ajali sio poaMaana ni ujumbe ambao hauna maelezo ya ziada kwamba unaweza kuunganisha dot na kupata maana wala huwezi ukatolea maelezo juu ya alichomaanisha. Maana wengi wamebaki gizani. Ujumbe wenyewe ni huu hapa 👎
Nakuonea huruma unatwanga maji kwenye kinu.Naona unahangaika sana juu ya uteuzi wangu.
Kwanini usijionee huruma wewe na ujinga wako usiokwisha kichwani mwako.Nakuonea huruma unatwanga maji kwenye kinu.
Kwani nani ambaye hatakufa? Nani ataishi milele?Iko siku atadanja wahuni walichokua wanasema baada ya ile ajali sio poa
Baada ya ile ajali na yale maneno ya vijana wa kibo kule X ndio bimkubwa akaachiaKwani nani ambaye hatakufa? Nani ataishi milele?
Siyo kweli.Baada ya ile ajali na yale maneno ya vijana wa kibo kule X ndio bimkubwa akaachia
Unawaza ujinga tu, hayo mawazo ya dini huwa mnawaza nyie msio na mbele wala nyuma...vibopa wanawafa fedha na mamlaka tu. Kavaa ushungi kama fulani kuonesha kuwa ipo siku atakikalia kile kiti.Mimi nilivyofahamu na jinsi ya alivyovaa kuna siku ataingia ktk dini yaki yaani atasilimu ndio maana IPO SIKU huku akiwa amevaa mtandio
Mbona umekasirika? Unatoa baa nini usiku huu? Ukavamia jukwaa?Unawaza ujinga tu, hayo mawazo ya dini huwa mnawaza nyie msio na mbele wala nyuma...vibopa wanawafa fedha na mamlaka tu. Kavaa ushungi kama fulani kuonesha kuwa ipo siku atakikalia kile kiti.
Kwamba mtu akivaa hivyo ni Muislam!? Huo ni utamaduni wa watu wa mashariki (waarabu) na wanavaa wote wakristo kwa waislam maana ni utamaduni na si dini.Ipo siku atasilimu, huoni alivyovaa?