Ujumbe huu wa Mchungaji Peter Msingwa amemaanisha nini na amemlenga nani?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ndio Ujumbe wa Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa alio uandika kupitia katika ukurasa wake wa Twitter


Je, anamaanisha nini au kutuma ujumbe gani na kumlenga nani.

Kwa wasio elewa kizungu nawasaidia kuwafafanulia. anasema kuwa Kuanguka kwa Jani kavu ni Tahadhari kwa lile La kijani. Au mwingine anaweza kusema kuwa kuanguka kwa Jani kavu ni Tahadhari kwa lile Bichi. Kama mnavyojua maneno ya kizungu . inategemeana na wewe mwenyewe utakavyotafsiri. Japo usije tafsiri kwa tafsiri Sisisi.Nadhani wasomi mnaelewa maana ya tafsiri sisisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Hamna kitu mule, njaa imemfanya apige magoti...aibu kubwa sana.
Kila mtanzania anafahamu wazi kuwa CCM ndio iliyobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania na ndio chama cha kuaminika na kuaminiwa.
 
Wapi ameandika CCM hapo? Kama hujuwi na kuelewa kizungu ,soma kwa chini nimefafanua kwa Kiswahili.
Wewe kilaza hii ni fasihi kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake au umesahau umeandika nini kwenye post yako # 3 ? Halafu unavyojisifia kujua kizungu nakucheka kwa dharauuu, kadiri unavyozidi kutaka kuandika mambo mengi ndiyo unajiumbua kuwa wewe ni kilaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…