Mpinzani hawezi kuwa mouvu ktk nchi zetu hizi akaachwaKwa hiyo unataka asiseme uovu wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpinzani hawezi kuwa mouvu ktk nchi zetu hizi akaachwaKwa hiyo unataka asiseme uovu wake?
Kwani hukuona amefunguliwa mashitaka na kukutwa na kesi ya kujibu?Mpinzani hawezi kuwa mouvu ktk nchi zetu hizi akaachwa
Imeisha vipi?Kwani hukuona amefunguliwa mashitaka na kukutwa na kesi ya kujibu?
Amepewa onyo kali sana na ndio maana unaona kwa sasa ni mtulivu na mwenye heshima.Imeisha vipi?
Na nani?Amepewa onyo kali sana na ndio maana unaona kwa sasa ni mtulivu na mwenye heshima.
Kamuulize.Na nani?
DuniaNdugu zangu Watanzania,
Huu ndio Ujumbe wa Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa alio uandika kupitia katika ukurasa wake wa Twitter
Je, anamaanisha nini au kutuma ujumbe gani na kumlenga nani.
Kwa wasio elewa kizungu nawasaidia kuwafafanulia. anasema kuwa Kuanguka kwa Jani kavu ni Tahadhari kwa lile La kijani. Au mwingine anaweza kusema kuwa kuanguka kwa Jani kavu ni Tahadhari kwa lile Bichi. Kama mnavyojua maneno ya kizungu . inategemeana na wewe mwenyewe utakavyotafsiri. Japo usije tafsiri kwa tafsiri Sisisi.Nadhani wasomi mnaelewa maana ya tafsiri sisisi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakuna lugha duniani inaitwa kizungu ( European language)Ndugu zangu Watanzania,