Ujumbe huu wa Mchungaji Peter Msingwa amemaanisha nini na amemlenga nani?

Kwa hiyo dogo unataka kujifananisha na mimi katika kizungu?😀😀
 
Kwa hiyo dogo unataka kujifananisha na mimi katika kizungu?😀😀
Kumbe wewe ni mmoja wa wale ambao wanaona kujua kuongea Kingereza ndiyo kipimo cha kuelemika, pole sana ndiyo maana wenzako waliojifunza kingereza kwa Ras Simba wameishia kupakwa mafuta na Pdidy, bado wewe kwa tamaa yako ya kuteuliwa lazima utapakwa mafuta tu hakuna jinsi nyingine.
 
Akiwazacho mjinga ndicho kimtokacho. Wewe ni mjinga mwenye mawazo ya kijinga.
 
Wapi ameandika CCM hapo? Kama hujuwi na kuelewa kizungu ,soma kwa chini nimefafanua kwa Kiswahili.
Wewe pimbi hakuna lugha ya kizungu hapa duniani. Wewe jamaa kumbe bado mnywanywa sana
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili maana ya Fasihi hiyo.unafahamu maana ya Fasihi?😀😀 Na ulivyo mbumbumbu sizani kama unaweza kuelewa.
Lucas wakiitwa wenye akili utatokea? Kutwa kucha kuwafagilia wenye CCM yao wala hawana mpango na wewe huoni huo ni ujuha kabisa.
 
Msigwa anaonesha anapitia wakati mgumu sana...hapo anatoa tahadhari kwa aliowaacha CHADEMA kwamba kuondoka kwake kuwe tahadhari na funzo kwa waliobaki.
 
Msigwa anaonesha anapitia wakati mgumu sana...hapo anatoa tahadhari kwa aliowaacha CHADEMA kwamba kuondoka kwake kuwe tahadhari na funzo kwa waliobaki.
Mtumishi wa Mungu yupo na amani sana ndani ya CCM.ndio maana unaona kwa sasa hata uso wake ni wenye furaha na tabasamu
 
Kijani ni CCM! Sijui anamaanisha kuna mtu CCM ameanguka onyo kwa wengine.
Lakini niseme tu Msigwa anaathiriwa na Chademaphobia,yaani ameondoka Chadema akiwa anaipenda ila tatizo lilikuwa Mbowe.
 
Hivi huyo aliyewahi kusema ccm wana akili ndogo,ameanza kuwasumbua na huko? Kwa nini anawatesa wakati anajua uwezo wa kufikiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…