Ujumbe huu wa Mchungaji Peter Msingwa amemaanisha nini na amemlenga nani?

huyo akafue nguo za bosi wake
 
Anasema tangu aende ccm haonekani tena yaani kama Jani liloanguka
 
Unahangaika kumpaisha "Mchungaji" (sijui wa wapi) bure huyu ni irrelevant na hana impact kwa yeyote na chochote,mwambie aliyetoa fedha anunuliwe amelamba garasa
 
Unahangaika kumpaisha "Mchungaji" (sijui wa wapi) bure huyu ni irrelevant na hana impact kwa yeyote na chochote,mwambie aliyetoa fedha anunuliwe amelamba garasa
Nampaishaje wakati jina lake linafahamika kwa watanzania wote .
 
Attachments

  • IMG-20241004-WA0041.jpg
    46.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…