Ujumbe kuhusu shule ya sekondari Nyiendo umewafikia walengwa

Ujumbe kuhusu shule ya sekondari Nyiendo umewafikia walengwa

Haya mungu awatangulie mfanye maamuzi ya busara na yawe sahii kwa faida ya elimu yetu
 
Wakuu habari, nafurahi thread kuhusu shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda imewafikia walengwa na kumefanyika dharura ya kuitana kwa baadhi ya staff members

Ni mwaka wa kupeana live bila chenga.

===

Kuhusu shule tajwa, soma: DOKEZO - Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo
kuitana baadhi ya staff kwanini sio wote? kikao kina baraka toka Kwa mkuu kwel?
 
Back
Top Bottom