Ujumbe kutoka kwa wanachama minority wa CHADEMA kwenda kwa mwenyekiti mpya Tundu Lissu

Hivi kuna Rais alikua popular kama Nyerere au JPM hapa Tanzania? Ila teuzi zao zilikua ni udini mtupu ila sidhani kama washabiki wao walifocus kwenye udini ila kazi zao.

No wonder Membe alikataliwa zanzibar licha ya kutokea chama cha Muslim majority yaani ACT!!
 
Ndo
ulichotumwa? Takataka kabisa
 
Unashindwa kuelewa. Kama ungekuwa mtihani ungepata zero.

Kwani hujui maana na kazi ya sosholojia.

Ngoja nikupeleke shule kidogo.

Sosholojia ni elimu ya kufikiri inayohusiana na namna gani imani, itikadi, mila, desturi, hali za jamii moja inavyoweza kushawishi jamii nyingine.


Elimu ya Sosholojia ni silaha muhimu ktk kutafuta ushindi wa vita, kwa kufanya utafiti ili ufahamu jamii na jinsi wanayoishi. Na kwa kutumia matokeo ya ushawishi huo hubuni njia itakayowahamasisha jamii hizo kushiriki ktk mchakato wa ustawi au mabadiliko kuanzia hatua ya kufanya maamuzi hadi utendaji.

Pengine nusu ya watz ni waislam, lkn fikra za chadema hazina tofauti na ccm, kutaka wafate utamaduni wa wanachedema na kuacha mila na tamaduni zao.

Wahaelewi kuwa kazi namba moja ya demokrasia ni kulinda tamaduni (dini) za kila jamii
 

Hoja niliyosimama nayo ni hiyo. Kuwa watz wanajua kuwa waislam wanakandamizwa.

Na watafuta hifadhi. Tulidhani chadema baada ya kukandamizwa miaka 7 hii wamgeweza kutafuta namna ya kuwavuta wale waliokandamizwa miaka yote 60 ya uhuru.

Lkn hali haiko hivyo. Kitakachotokea watu hawatopiga Kura. Kwani wanajua wote ni wale wale
 
Unadhani hakuna wenye weledi ktk jamii yetu. Kwann wanasita kujiunga na chadema. Kwasababu ya hisia hizi nazojaribu kuweka sawa.

Viongozi wa dini waliosuluhisha walifanikiwa. TEC walifanya hii lobbying na wameshinda. Sasa Lissu hana na kufanya zaidi ya kwenda kupiga magoti kwao, na atakuja kuvaa barakashia akipiti ngome za waislam kama njia ya kuwashawishi na kumtumia mmoja wa Shekhe kama Tamara la deki. Cheap politics
 
Kuna mtu ashawahi sema kuwa,Afrika hakuna shida ya rushwa ila Kuna shida ya DINI, labda alikuwa sahihi, sipendi mazingira yoyote Yale ya DINI,ila mtazamo wako nimekuelewa hasa Kwa ukanda huo wa mwambao,ni watu wenye vichwa hewa sana kuwaelewesha kuwa hakuna udini kabisa!!!
 
Duh hii mpya, sheikh Ponda katibu mkuu wakati hana kadi ya chadema!! Watu wanachagua mabadiliko sio dini, mbona Lissu alipata kura nyingi kuliko Membe huko zanzibar licha ya ACT kuwa ndio kinawavutia zaidi wazanzibari kuliko chadema?
HUJUI SOSHOLOJIA
 
Ndio maana nikauliza mbona wazanzibar walimpa Kura nyingi za urais chadema kuliko ACT? Kwani hawakujua kwamba ACT ina waislam wengi kuliko chadema if at all that was the case?
 
Dini ni mfumo wa maisha kwa vile tunavyofahamu. Na hakuna mtu anaweza kuishi bila ya mfumo wa maisha.
 
Wewe ni mpumbavu na mpuuzi. Huu ujinga ulioandika hapa ndio unaosababisha Waislam tunadhaurika.

Udini hauna nafasi katika masuala ya kitaifa, huo upuuzi uishie kwenye familia yenu huko.

Badala ya kuleta hoja za msingi za kujenga taifa na umoja unaendekeza udini. Ndio maana huko unakotoka umasikini umekithiri juu ya fikra finyu kama hizi.
 
Kuingiza udini kwenye uchaguzi wa chadema kumefifisha andiko lako lote.
 
Nazungumzia legitimacy na sio authority.

Kama hamuelewi kuhusu uongozi (leadership) na ushawishi subirini October.
Ungekuwa na akili ungejiunga na wale wanaotaka tume huru na mabadiliko ya sheria za uchaguzi na katiba mpya ili tunapoenda kwenye uchaguzi uwe wa haki. Kumbe wewe mabadiliko yako ya kuwapa ushindi wapinzani ni kuwateua waislamu? Aisee sijaona jamii yenye watu wajinga kama hii
Hapa ndio umeonyesha madhaifu na ujinga uliopitiliza, tuonyeshe waislamu walitaka kugombea uongozi wa CHADEMA wakazuiwa kwa sababu ya uislamu wao? Unasumbuliwa na INFERIORITY COMPLEX huwezi pona na huwezi pata unachotaka kwenye democratic society. Ni ujuha pasee
 
Wishful thinking, unaendeshwa mno na udini kiasi unaona vitu ambavyo havimo, kuna wasio na ufahamu waliwahi kuituhumu CUF ni chama cha waislamu. Hao wenye mawazo finyu kama yako.

Una chuki za kipuuzi dhidi ya Lissu, ila huna hoja unatafuta njia za kutoa uovu uliojaa moyo wako kupitja udini. Walichoenda na walichofanya viongozi wa kidini ni baada ya kuona malumbano na hisia zimekuwa kubwa kiasi kambi mbili hasimu wanarushiana maneno. Kama TEC wameshinna ilikuwa ni suala la lobbying Mbowe ni mkatoliki? Nosense.

Chuki zako dhidi ya ukristo na viongozi wa kikristo kujaribu kuwapatanisha your evil heart, evil mindset imekuumiza. Poor you.

Lissu akawapigie magoti! Sikujua kama kuna waislamu wasio na akili kama hizi. Kwa lipi?

Mwisho kwa nini Lissu? Lissu ni mwenyekiti wa nne wa CHADEMA toka kianzishwe, alikuwepo Mtei mwanzilishi, akafyata Bob Makani kisha akaja Mbowe na sasa ni Lissu. Kama uma chembe ya akili nionyeshe kwa mifano hao waliotangulia walikuwa wanateua waislamu siyo kwa merits zao bali kwa uislamu wao?
 
Wewe ni mpuuzi mno, CHADEMA iliwahi kuongoza jiji kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2010 na 2015, walipigiwa kura na wenyeji wa Dar es salaam. Dar hakuna kwenye siasa hakuna majority wala minority ya waislamu au jamii yeyote ile. Ni sera zako na ushawishi wako. Kama kweli una chembe ya akili nikumbushe kwenye uchaguzi wowote kwa research yako uislamu uli play any part.

Mwisho wenyeji wa Dar hawana kabila wala dini. Na wazaramo wageni tu hapa, hili ni metropolitan city siyo kijijini cha Mwanalumango
 
Lakini wote ni wakatoliki au?
 
Ndio maana nikauliza mbona wazanzibar walimpa Kura nyingi za urais chadema kuliko ACT? Kwani hawakujua kwamba ACT ina waislam wengi kuliko chadema if at all that was the case?
Hukumbuku Lissu alixhofanya kwa ACT.

Umesahau. Walitamka na kuwataka wanaCHADEMA wote walio Unguja wampigie Kura Maalim.

Na Maalim akamuunga Mkono Lissu. Bila ya kauli ya Maalim kwa wana ACT, Lissu angeangukia pua.

Sasa kama kuna mkakakti wa Waislam kupewa mkono wa kwa kheri chadema ili waende vyama vingine vilivyo na wawakilishi wao. Basi njia ile ile ya kuanzisha ukawa.

Hilo nitaunga mkono kuwa vyama vya upinzani vijigawe ktk ngome zao na wasiingiliane. Na kuna haja kwa watu wa mwambao kuwa na chama (chaumma) ambacho kitakuwa ngome ya chani chenye sera ya utawala wa majimbo yenye nguvu zaidi ya kujiamulia mambo yao wenyewe. Sio hivi vya falsafa kufuru ya ujamaa.

Na chadema wataendelea kukaba ngome yake ya kaskazini na kusini nyanja za juu
 
Huu ndio maana ya uongozi. Lissu anatoka kwenye ku criticize Kila siku kwenda kwenye kujibu hoja. Mleta mada ana hoja, isipuuzwe wakadhani ndio imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…