I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
WalitoaMimi sikuona hata apology yao. Hovyo kabisa
Tigo mwendo wa kobe kwenu labda..Wametuingizia hasara kubwa, mchongo wangu ulikwama sababu yao, ilinibidi nitumie Tigo yenye mwendo wa kobe.
Mbona sijaona ujumbe?
Sent using Jamii Forums mobile app