Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

Vipi hii MB 250 ambayo walikuwa wamenipa ofa, watanifidiaaaa? waache mambo ya kiduwanzi...
 
Voda pumbav zao niliwajaribu ila pumba kabisa.... Yaani kutwa nzima wameninyima neti halafu asubuhi naamka eti muda wa kifurushi umeisha....Halafu mwishoni wanasema yajayo yanafurahisha upo tayari....Sipo tayari kwa wadwanzi kama nyie Vodacom Tanzania...Nimehamia tigo moja kwa moja.
 
Vodacom Wametoa Mb 300 Bure Leo Kufidia Kosa Lao
Unazitumia Ndani Ya Saa 24
 
Mimi wamenila mb zangu halafu hawajanifidia... Wamenitumia ujumbe eti mbs za kifurushi zimeisha muda... Pumbav zao
 
Mambo kama haya yanapotokea ndio unaweza kujua ni kwa namna gani unaishi nchi ya hovyo
 
Itabidi watufidie kwa kutuwekea kila mmoja anayetumia moderm ya GB 2. Jana nimesumbuka sana.
 
Kumbe kulikua na tatizo kwa line za voda??? Nimehangaika sana jana, yani leo nilipanga niende nika flush simu nikadhani ni kirusi hahahaha
 
Back
Top Bottom