PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Sawa huduma imerejea lakin speed yao iko slow nashindwa hata kustream na mtandao ni 4g
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Mb Zao Zinaisha Kama MajiIli kuepuka hasara, wanatoa Mb 300 tu kwa saa 24.
. Mimi nmepewa 1gb nusu saa imeisha😁😁View attachment 1367972View attachment 1367972
Wadau oneni VODACOM walivyowahuni. Leo asubuhi nikatumiwa ujumbe eti nina MB300 ili kunipoza na tatizo la jana la internet, na kibaya asubuhi nilitumia ile njia ya kuomba fidia nikaona napewa 50MB nikawa nimeacha ila baadaye ndiyo napewa MB 300, ambazo nimepewa saa 9:11 nikiambiwa zitakaa masaa 24 ila ilipofika saa 9:42 nikatumiwa ujumbe muda umeisha. VODA hawajatudendea haki wateja.
Sikuiona kabisa Mimi long time mteja wao. Tena bundle la uhakika kila mwezi.Walituma mkuu