Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

Sawa huduma imerejea lakin speed yao iko slow nashindwa hata kustream na mtandao ni 4g
 
. Mimi nmepewa 1gb nusu saa imeisha😁😁
 
Na hisi kudhulumiwa nilinunua kifurushi cha tshs 2500 nilidhani mb zimekwisha, bado nikawa sipati net.

Baadaye nikaona ujumbe wao juu ya tatizo la mtandao. Leo natumiwa ujumbe kifurushi chako cha 2500 kimekwisha.

Kisha napokea ujumbe umezawadiwa mb 300 hii ni zawadi?
 
Vooooodaaa!!! Lugha mliyotumia siyo sawa hii siyo OFA mmerejesha mb nilizonunua mkashindwa kunipa huduma stahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…