Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo hapo wanakuwa wanacheza na scripts tuu. Ila matukio yote yashafanyika.
Ila kwa Jf inaonekana its safe to do that.
[emoji23] [emoji23] waja mna mambo nyiiiie
 
Tatizo bado liko pale pale....tuwape natural justice hawa dada zetu,wake zetu,wapenzi wetu n.k. ili waweze kujitetea.
Ngoja tuwape mkuuu .

Ila mimi nitabaki kua ivo mpaka nijiridhishe....

Sasa kesho unafungua tena uzi ..."" shunie nakupenda""

Naye anakujibu ivo .

Miezi ijayo unaandika ,,Kapeace nakuhitaji ...duuuhhhhh
 
Hahaha sasa hii style ya kumtia mtu moyo ikifanyika kwa kila uzi unaofunguliwa si ndo hamkawii kuanza kumponda dada wa watu kwamb ni malaya jaman
Jolie ukiamin ktk ukweli nakuiamin nafsi yako ,hata haje mtu anakupondaje UTABAKI IVO..

Lkn pia kuna kumtia mtu moyo majukwaan nabado akajua hamjamkubali lkn pia umemlinda utu wake machon mwetu
 
Mwambie nimefurahishwa sana na uhusika wake kwenye hii movie, muandishi alimpa ihusika mkuu na yeye kaitendea haki hii movie...
na kweli maan kila nilivyojitahid kuficha yey anajigubua tu looh ngoj nimwambie aondoke tu huku otherwise nitamsemea kwa shemej [emoji41] [emoji41]
 
Back
Top Bottom