Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hakuna mtu asiyeogopa kombora bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah mlivo waoga wa mizinga watu wa humu ahahaha si mnashukuru Mungu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu asiyeogopa kombora bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah mlivo waoga wa mizinga watu wa humu ahahaha si mnashukuru Mungu kabisa
Jamaa kashauri vzuri, una mtia moyo hapa hadharani.[emoji23] [emoji23] ushaur wako ni kwamba wawe wanawatia moyo waleta uzi si et?
Mkishaambiwa "baby nikwambie kitu"Hakuna mtu asiyeogopa kombora bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nirahisi sana mkuu kujiwekea ulinzi nabado akaaminika namtu wake kama kawaida.Hajar hana kosa.Amejiwekea security kwa mwenye yeye(mtu wake Hajar), mikononyuma na wana JF wengine wanakuja kama mashuhuda.
Just think, kama mikononyuma ni ID fake ya mwenye yeye(mtu wake Hajar), na akajibiwa uvunguni, jioni ya leo ingekuwaje?
Mtazamo...!
Hahahaaa. Pole sana my dear Bro kwa kuumiza kichwa kuanza kujibu.Hajar hana kosa.Amejiwekea security kwa mwenye yeye(mtu wake Hajar), mikononyuma na wana JF wengine wanakuja kama mashuhuda.
Just think, kama mikononyuma ni ID fake ya mwenye yeye(mtu wake Hajar), na akajibiwa uvunguni, jioni ya leo ingekuwaje?
Mtazamo...!
Sense...inahitaji akili kubwa[emoji357]Haha sasa kama kweli wamewahiwa wajibu nini tena?
Hapo kwenye kufuta uzi,mods wako bize hahaha na uzi wako unazid kutembea hihihihiiiii kama nakuona mikono inavotoka jasho[emoji23]Jamaa kashauri vzuri, una mtia moyo hapa hadharani.
Halaf una mfuata PM unamuaibisha shetani huko kimya kimya then una move on.
Mi nikikataliwa live ntawaomba mods waufute uzi.
Tusiwahukumu...tuwape natural justice.Jolie ,laiti ukijua athar ya Dissapointment unayopewa mbele za watu usingesema hivo.
Sasa hapa Hajar yeye ndo amekaa upande wa faida ...ndugu yangu Mikononyuma amejishika mikono nyuma kwelikwelu
Ha ha ha ha ha brother umeuaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnazuia mizinga inayojileta yenyewe bila kuitafuta mjue
Napinga.Be straight.[emoji23] [emoji23] ushaur wako ni kwamba wawe wanawatia moyo waleta uzi si et?
Nakuambia ivi kama hana ID zaidi yahii ,utaona vinyuzi vitakavyofuata.Hahaa bas ukijibiwa ivo unaanza kufungua nyuzi nyingi nyingi ili ule uzi upotee
Asee mi sishindwi nikiona mods wanazingua, hapo naweza hata ku uedit uzi nandika mambo ya JPM .Hapo kwenye kufuta uzi,mods wako bize hahaha na uzi wako unazid kutembea hihihihiiiii kama nakuona mikono inavotoka jasho[emoji23]
Basi kumbe ushauri wa kutiwa moyo hadharan na kumuabisha shetani pm ndo mzuri
Umeona eeSense...inahitaji akili kubwa[emoji357]
Agiza unachotaka nakuja kulipaTusiwahukumu...tuwape natural justice.
Leo wakirespond positively kwa kila mtu, kesho muwafungulie nyuzi za kuwakashifu?
Mtazamo
Tatizo bado liko pale pale....tuwape natural justice hawa dada zetu,wake zetu,wapenzi wetu n.k. ili waweze kujitetea.Nirahisi sana mkuu kujiwekea ulinzi nabado akaaminika namtu wake kama kawaida.
Nakwakua Hajar anajiamin kua ana mtu wake , haikua na haja yoyote ya yeye kumuunguza jamaa maini namoyooo , ujue sisi watu wazima na tunahishiwa kiutu uzima .
Unless km ni ID ngeni sawa kidogo kuna mashaka.
Nimeona...!Umeona ee
Ahahahahaha waaaaai hahaha nimecheka hatari sana hahaha kwamba "Ni aina gani ya kilimi cha maembe naweza vuna ndani ya miezi mitatu[emoji23] [emoji23]Nakuambia ivi kama hana ID zaidi yahii ,utaona vinyuzi vitakavyofuata.
Mtu atauliza. ..** Aina gan ya kilimo cha maembe naweza vuna ndan ya miezi mitatu??[emoji23][emoji23]
Kuna kaanjia ka kamoja tu yaaan kanaitwa " katisha tamaa huku ukimlindia utu machon kwawatu".[emoji23] [emoji23] ushaur wako ni kwamba wawe wanawatia moyo waleta uzi si et?
Ahsante...kuna anajua, ataniagizia.Agiza unachotaka nakuja kulipa