Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Haya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwa

"" waoooooo sina cha kusema asante kwa kunipenda ila nmeshawahiwa""

Mzee baba kama huna moyo wa chuma utapandwa na hasira utaman kufuta post lkn usiweze .[emoji23][emoji23].

Wewe hajari umezengua , ungemfata PM tu na kumwambia nina Mtu tayari ...sio km hivi hadharan , nia njema haijawah kwa jibu baya , likiwa baya basi huwa lasauti ya chini namtu yoyote asisikie

Sasa mfano ,uyo alokuwah najua hatokua mumeo , sasa ikitokea amekukacha , sindo utamkumbuka huyu jamaa , na kujikuta ulimkatalia mbele ya watu??? . Sio vzuri.

Wanaume bado nawakumbusha jamaa zangu.

Kumfungulia uzi mwanamke humu kama hujakua naye uhakika nimatumizi mabaya ya MB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wacha niendelee kushudia maajabu ya JF na wanaJF[emoji23] [emoji23]

" Asante jomooooni ila nmeshawahiwaaa my mukaka yanguuu mudhuri " .

Aki na wanawake wanavyongea kwa kuvuta manenooo fulu mideko ,unaweza hisi haja kubwa imekubana gafla.


Sema nn mtoa mada,, hongera kwa ujasiri wako , kawaiwa lkn sasa anajua kuna mahali anapendwa . Alichokosea nihili jibu
Hajar hana kosa.Amejiwekea security kwa mwenye yeye(mtu wake Hajar), mikononyuma na wana JF wengine wanakuja kama mashuhuda.
Just think, kama mikononyuma ni ID fake ya mwenye yeye(mtu wake Hajar), na akajibiwa uvunguni, jioni ya leo ingekuwaje?



Mtazamo...!
 
Back
Top Bottom