Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mnikumbuke tu jamaaan[emoji23] [emoji23] [emoji23] na Mimi kwa hii comment yako umenifanya nami nimkumbuke[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnikumbuke tu jamaaan[emoji23] [emoji23] [emoji23] na Mimi kwa hii comment yako umenifanya nami nimkumbuke[emoji1]
Umeonaeeee. Hawataki kuchana mkeka. Lol.Me mzimaaaa nawaona tu watu hapa wanavyobeti I'd za watu
FactFor sure...kila mtu kakulia kwenye misingi ya familia yake...lazima tuwe tofauti.
Lkn siumeshuhudia maneno yangu??Hahaa ni kweli kabisa huwezi kukataa ukweli
Vlad anakwambia wadada wa jf unamuanzishia uzi af anakuja anakujibu "ahahahahaha jamaaani asante my kaka mzuri but umechelewa mie nimewahiwa"
Hahaha nilicheka sana
Hahahahahaaahaa
Nawachora tu hapaUmeonaeeee. Hawataki kuchana mkeka. Lol.
Nina mpango wa kushika kalamu juu yako, majibu ndio yakuwa hayo au... Ili nijue nisipoteze muda kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaa bas ukijibiwa ivo unaanza kufungua nyuzi nyingi nyingi ili ule uzi upotee
Hahahaaa. Kweli kabisa mdogo wangu.Hapa ni mwendo wa kupika Data tu hamna kupoteza muda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajar hana kosa.Amejiwekea security kwa mwenye yeye(mtu wake Hajar), mikononyuma na wana JF wengine wanakuja kama mashuhuda.Haya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwa
"" waoooooo sina cha kusema asante kwa kunipenda ila nmeshawahiwa""
Mzee baba kama huna moyo wa chuma utapandwa na hasira utaman kufuta post lkn usiweze .[emoji23][emoji23].
Wewe hajari umezengua , ungemfata PM tu na kumwambia nina Mtu tayari ...sio km hivi hadharan , nia njema haijawah kwa jibu baya , likiwa baya basi huwa lasauti ya chini namtu yoyote asisikie
Sasa mfano ,uyo alokuwah najua hatokua mumeo , sasa ikitokea amekukacha , sindo utamkumbuka huyu jamaa , na kujikuta ulimkatalia mbele ya watu??? . Sio vzuri.
Wanaume bado nawakumbusha jamaa zangu.
Kumfungulia uzi mwanamke humu kama hujakua naye uhakika nimatumizi mabaya ya MB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wacha niendelee kushudia maajabu ya JF na wanaJF[emoji23] [emoji23]
" Asante jomooooni ila nmeshawahiwaaa my mukaka yanguuu mudhuri " .
Aki na wanawake wanavyongea kwa kuvuta manenooo fulu mideko ,unaweza hisi haja kubwa imekubana gafla.
Sema nn mtoa mada,, hongera kwa ujasiri wako , kawaiwa lkn sasa anajua kuna mahali anapendwa . Alichokosea nihili jibu
Kabisaaaaaaa. zeshchriss na bahati yake kwa kweliHahahahahaaahaa
Wikiend umemunyokea kabisa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeonaeeee. Hawataki kuchana mkeka. Lol.
Haha sasa kama kweli wamewahiwa wajibu nini tena?Lkn siumeshuhudia maneno yangu??
Mtoa mada alipaswa ajiridhishe kwanza.
Umeonaeee. Wacha wazidi kubet. LolNawachora tu hapa
Hahahaa "asante my kaka mzuriiiiiii bt umechelewa nimeshawahiwa"Nina mpango wa kushika kalamu juu yako, majibu ndio yakuwa hayo au... Ili nijue nisipoteze muda kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
And that's what life mean.Fact
Jolie ,laiti ukijua athar ya Dissapointment unayopewa mbele za watu usingesema hivo.Haha sasa kama kweli wamewahiwa wajibu nini tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa "asante my kaka mzuriiiiiii bt umechelewa nimeshawahiwa"
Haaaha aki hii statement inanimaliza mbavu
[emoji23] [emoji23] ushaur wako ni kwamba wawe wanawatia moyo waleta uzi si et?Jolie ,laiti ukijua athar ya Dissapointment unayopewa mbele za watu usingesema hivo.
Sasa hapa Hajar yeye ndo amekaa upande wa faida ...ndugu yangu Mikononyuma amejishika mikono nyuma kwelikwelu
Hahahah mlivo waoga wa mizinga watu wa humu ahahaha si mnashukuru Mungu kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnazuia mizinga inayojileta yenyewe bila kuitafuta mjue