Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mash Allah!!..Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.
Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
eee bado nafanya kazi tu mjomba[emoji25] [emoji25]Kwa hiyo unafanya tu kazi za ndani?[emoji30][emoji30][emoji30]
Ukhuty bana....jibu murua...![emoji30] [emoji30] sijaolewa mjomba ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]Ukhuty bana....jibu murua...!
[emoji23]Wee nitakufungulia uzi ,ukinikataa nakuloga
Huna la kuongeza.Ni jukumu la muuliza swali kuendelea au kutulia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
[emoji12] [emoji12] [emoji23] umeanzaeeHuna la kuongeza.Ni jukumu la muuliza swali kuendelea au kutulia.
[emoji23][emoji23][emoji23] usimseme bhn..na kweli maan kila nilivyojitahid kuficha yey anajigubua tu looh ngoj nimwambie aondoke tu huku otherwise nitamsemea kwa shemej [emoji41] [emoji41]
yaan ikibid itabid nifanye hivy tu siumeona loh anachart sana leo zamu yake ya kupika yup jikon sasa time hii[emoji23][emoji23][emoji23] usimseme bhn..
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji1][emoji23]
[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji131][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Akaaaa! Mie napenda wapi kurudia rudia mambo.Wewe ulishamaliza.Ulipojibu tu, yule mkuu alishaelewa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Vigezo na masharti vizingatiwemwambie apitie kwangu taratibu zote nitampa
umeonaeeVigezo na masharti vizingatiwe
[emoji127][emoji127][emoji132][emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji131]
Watu hawali leoyaan ikibid itabid nifanye hivy tu siumeona loh anachart sana leo zamu yake ya kupika yup jikon sasa time hii
Hahahaaa. Mbali na longo longo za hapa na pale. Ila kuna mambo humu.Mwambie nimefurahishwa sana na uhusika wake kwenye hii movie, muandishi alimpa ihusika mkuu na yeye kaitendea haki hii movie...
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mash Allah!!..
[emoji85] [emoji85] [emoji85] We Sesten Mmh.Vigezo na masharti vizingatiwe