Ujumbe kwa Hajar

Hahahaahahaaaaa

Uzuri mtu akiquote, uzi unabaki kwenye quote ya mtu hata wewe uufute tutauona kwenye quote.
Hahaha umesema uzi kubaki kwenye quote kuna kitu nimekumbuka nimecheka sana[emoji23] [emoji23]

Gilesi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaha umesema uzi kubaki kwenye quote kuna kitu nimekumbuka nimecheka sana[emoji23] [emoji23]

Gilesi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahaahaaaaa

Uzi/comment kubaki kwenye quote huwa inaaibisha sana.

Huo mtindo wa kuquote ndio unatumika kuumbua watu sana humu
 
[emoji23] ngoja nije naona una hamu ya kuaibishwa piyemu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaaaaa. Yaaani naishia kucheka tu.

Sababu huwezi amini sijawahi ona hii id ya mikononyuma ujue hivyo nimejikuta napata mshangao kamjuaje Hajar.
Duuu imebidi nitembee toka Ngaramtoni kwa miguu saa hii nipo chekereni ata sijui naelekea wapi!!!!mikono nyuma kama jina langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…