Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Hahaa ni kweli kabisa huwezi kukataa ukweli

Vlad anakwambia wadada wa jf unamuanzishia uzi af anakuja anakujibu "ahahahahaha jamaaani asante my kaka mzuri but umechelewa mie nimewahiwa"


Hahaha nilicheka sana
Nataka nikuanzishie uzi utanijibu hivyo na mie?..Hebu niambie hapa kabisa!.
 
Nahiyo ndo point yangu Mkuu ..Ujue JF humu nijamii ndogo , ndomaana ukimtaja mtu km Mshana JR anajulikana nakila mtu ., sasa km ile siku Mshana alivyomuandikia Demiss ,alafu demiss amkatae ingekuwaje???

Kwaivo niukweli kua mpaka Mshana anamwandikia Demiss NISABABU TU ALIKUA KESHAJILIZISHA NAUSIKUTE HATA MZIGO ALIKUA KESHAKULA.
Kweli eeeeehh
 
Back
Top Bottom