mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 600
- Thread starter
-
- #361
Kweli mkuuSi mbaya ukifeli mpango mmoja unafanya mpango mwingine
Nataka nikuanzishie uzi utanijibu hivyo na mie?..Hebu niambie hapa kabisa!.Hahaa ni kweli kabisa huwezi kukataa ukweli
Vlad anakwambia wadada wa jf unamuanzishia uzi af anakuja anakujibu "ahahahahaha jamaaani asante my kaka mzuri but umechelewa mie nimewahiwa"
Hahaha nilicheka sana
Kweli eeeeehhNahiyo ndo point yangu Mkuu ..Ujue JF humu nijamii ndogo , ndomaana ukimtaja mtu km Mshana JR anajulikana nakila mtu ., sasa km ile siku Mshana alivyomuandikia Demiss ,alafu demiss amkatae ingekuwaje???
Kwaivo niukweli kua mpaka Mshana anamwandikia Demiss NISABABU TU ALIKUA KESHAJILIZISHA NAUSIKUTE HATA MZIGO ALIKUA KESHAKULA.
Ni mzuri kwelikweli!!Me nataka kujua dada hajar kwann umebadili id???
Ila pamoja na hilo nakupongeza sana ntakua mchoyo nisipo sema hili una nyota ya kukubalikaaaa
Loooohh!!!!cc mikono nyuma
Acha tu KANAShit, kumbe mtu ashakula kibuti japo kaweka mikono nyuma?
Someone's weekend is in flames already!
NaaamMshengaaaa
Kweli mkuuUzi unaingia kwenye hansard za JF, hautakiwi ufutwe ipo siku utaurejea kama kumbukumbu juu ya yale uliyowahi kupitia
Duu nini tenaBibi yako yuko makaburini anakusubiri mimba yako ilipotungiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukutane apo TRIPLE ANaaam
Mida gani?Tukutane apo TRIPLE A
Aaaaah kwani kumsalimia jirani Ni kosa?Mkuu mbona unasalimia sana
Hujaelewa au?Unasemaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Braza yaan yafaa hizo kumbukumbu zitoke zotee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itabid unipe wiki mbili nifikirie jibuNataka nikuanzishie uzi utanijibu hivyo na mie?..Hebu niambie hapa kabisa!.
Wiki mbili ili niwe nimeleta hadi zawadi kwenye Bday![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itabid unipe wiki mbili nifikirie jibu
Hahahaa. Haya bana SwahibaSwahiba mimi nilikushtua tu km kuna ujumbe wako huku!
Hahahaaa. Eti Pacha. [emoji85]Pacha naona nataka kupata shemeji mie lol
Salama kabisa rafiki. Ni wewe umeadimika au mie? [emoji12]Mkuu habari ya wewe.
Hahahaa. Unaelekea wapi mikononyuma?Duuu imebidi nitembee toka Ngaramtoni kwa miguu saa hii nipo chekereni ata sijui naelekea wapi!!!!mikono nyuma kama jina langu