DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ndio mhusika yupo huko unakokwenda?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Huu uzi kumbe bado tu upo moto hivi?hahha nimecheka mpk watu wamenishangaa ujue
Hahahaa.
Unamjua Hajar ?Huu uzi kumbe bado tu upo moto hivi?
Fuata nyuki ule asaliNdio mhusika yupo huko unakokwenda?
Ndio!. ni mtu wangu wa nguvuUnamjua Hajar ?
Sawa sawNdio!. ni mtu wangu wa nguvu
Naogopa kuchonga mzingaFuata nyuki ule asali
Basi ununue uliochongwaNaogopa kuchonga mzinga
Sawa chiefBasi ununue uliochongwa
haufi huu uziHuu uzi kumbe bado tu upo moto hivi?
Ushasikia mapenzi yamekufa?haufi huu uzi
Mi nilikua sijamfaham huyo Hajar wenyewe kama ni huyu ana mme wake na ana watoto wawili...
View attachment 726013[/QUOTE
Mashaallah
Pole bro rudi home,jipange usikate tamaa,kila jambo na wakati,muhindi anasema kosa Hajar pata HanifaDuuu imebidi nitembee toka Ngaramtoni kwa miguu saa hii nipo chekereni ata sijui naelekea wapi!!!!mikono nyuma kama jina langu
Nimecheka sana aiseePole bro rudi home,jipange usikate tamaa,kila jambo na wakati,muhindi anasema kosa Hajar pata Hanifa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio nini swahiba Temanyika. Huu ni uzi ama?NENO SHIKAMOO LINANITATIZA NAOMBA MNISAIDIE
Mwanaume kwenye umri ulioenda kidogo akiwa na msichana kwenye MIAKA kuanzia MIAKA 19 na kwenda mbele huwa msichana anamwamkia mwanaume na mwanaume anaitikiakia kwa heshima zote,LAKINI Mwanamke ambae umri umesogea akiwa na mpenzi mvulana akipewa Shikamoo anakataa kuitikia,.Hivi nini sababu,naombeni msaada kwa hili wana JF
Teh teh teh hongera kwa kuwashangaza.hahha nimecheka mpk watu wamenishangaa ujue
Hahahaha kaanzisha uzi ndani ya Uzi.[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio nini swahiba Temanyika. Huu ni uzi ama?
Kama ni uzi umekuja sipo ujue.