Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Mi nilikua sijamfaham huyo Hajar wenyewe kama ni huyu ana mme wake na ana watoto wawili...
Screenshot_2018-03-26-17-38-16.jpg
 
NENO SHIKAMOO LINANITATIZA NAOMBA MNISAIDIE

Mwanaume kwenye umri ulioenda kidogo akiwa na msichana kwenye MIAKA kuanzia MIAKA 19 na kwenda mbele huwa msichana anamwamkia mwanaume na mwanaume anaitikiakia kwa heshima zote,LAKINI Mwanamke ambae umri umesogea akiwa na mpenzi mvulana akipewa Shikamoo anakataa kuitikia,.Hivi nini sababu,naombeni msaada kwa hili wana JF
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio nini swahiba Temanyika. Huu ni uzi ama?

Kama ni uzi umekuja sipo ujue.
 
Back
Top Bottom