Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Nafikiri umeamini sasa[emoji324][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23]Yuko busy... Au anasubiri majibu kama kwenye interview?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kweli sababu sio kwa kunipa uanaume huo. Hajar na uanaume wapi na wapi.
Anitake radhi tu kwa kweli.
Fact.Mmh. Pole.
DuuuhDaaa wanaume wa dar washaniwahii, nilikuwa na lengo hilohilo ngoja ntafute kina mwajuma wa mtaan kwetu tu
Well said...umtakie safari njema.Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.
Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaa. Nimeamini kwa kweli.Nafikiri umeamini sasa[emoji324]
Haijawahi kuniangushaJF katika ubora wake.
Hahaa ni kweli kabisa huwezi kukataa ukweliHahahaaaaaa. Kumbuka tu shoga angu.
Ujue kiuhalisia huwezi sema unaye mtu tayari halafu uanzishiwe uzi useme sina yaani utaonekana bonge la mjinga. Mie naona kuanzishiwa uzi siku zote hakuzuwii mtu kuzungumza ukweli wake.
Pia huenda ikawa mleta uzi kashindwa kuingia kule kwa Waziri Mkuu sababu nimekufunga na makufuli hivyo kaamua kuja kufungukia huku labda huenda angebahatika. Teh
[emoji120] [emoji120]Fact.
Teh teh teh...nashukuru...!Hahahaa. Nimeamini kwa kweli.
Ahsante sana rafiki kipenzi wa mie. [emoji120] [emoji120] [emoji120]Beautiful hajar
Aisee hapa panatendwa haki...though some people wanaipotezea heshima yake.Haijawahi kuniangusha
Eeeeeeeeenh?Beautiful hajar
Hahahaaa. Uzuri inakuwaga ni kweli tumewahiwa.Hahaa ni kweli kabisa huwezi kukataa ukweli
Vlad anakwambia wadada wa jf unamunzishia uzi af anakuja anakujibu "ahahahahaha jamaaani asante my kaka mzuri but umechelewa mie nimewahiwa"
Hahaha nilicheka sana
Unazidi kumuumiza...kama anajulikana.Hahahaaa. Uzuri inakuwaga ni kweli tumewahiwa.
Pia niseme hakuna mwanamke asiyependa hii kitu hasa ile inayojileta yenyewe. [emoji12] Yaani ningekuwa sina mtu ningeshamzukia huko PM tuyajenge ili nipate ndoa Hajar wa watu. Lol
Ahsante kwa majibu mazuri Dada yanguNimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.
Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
ahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] na Mimi kwa hii comment yako umenifanya nami nimkumbuke[emoji1]