Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.

Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Well said...umtakie safari njema.
 
Hahahaaaaaa. Kumbuka tu shoga angu.

Ujue kiuhalisia huwezi sema unaye mtu tayari halafu uanzishiwe uzi useme sina yaani utaonekana bonge la mjinga. Mie naona kuanzishiwa uzi siku zote hakuzuwii mtu kuzungumza ukweli wake.

Pia huenda ikawa mleta uzi kashindwa kuingia kule kwa Waziri Mkuu sababu nimekufunga na makufuli hivyo kaamua kuja kufungukia huku labda huenda angebahatika. Teh
Hahaa ni kweli kabisa huwezi kukataa ukweli

Vlad anakwambia wadada wa jf unamuanzishia uzi af anakuja anakujibu "ahahahahaha jamaaani asante my kaka mzuri but umechelewa mie nimewahiwa"

Hahaha nilicheka sana
 
Hahaa ni kweli kabisa huwezi kukataa ukweli

Vlad anakwambia wadada wa jf unamunzishia uzi af anakuja anakujibu "ahahahahaha jamaaani asante my kaka mzuri but umechelewa mie nimewahiwa"

Hahaha nilicheka sana
Hahahaaa. Uzuri inakuwaga ni kweli tumewahiwa.

Pia niseme hakuna mwanamke asiyependa hii kitu hasa ile inayojileta yenyewe. [emoji12] Yaani ningekuwa sina mtu ningeshamzukia huko PM tuyajenge ili nipate ndoa Hajar wa watu. Lol
 
Unazidi kumuumiza...kama anajulikana.
 
Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.

Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante kwa majibu mazuri Dada yangu
 
Back
Top Bottom