Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Tatizo kubwa ni kuajiri waandishi ambao si tu kwamba hawajui, bali hawajui kuwa hawajui, kama huyo kaka aliyekuwa akibisha.Hiyo siyo TBC wana haki ya kutangaza chochote
Ulimwengu wa sasa huwezi kulaumu shule za kata.Asilimia 98 ya waandishi wa habari wa bongo wa sasa ni Vilaza sana kwa mambo mengi. Shule za kata ni majanga.
HakikaAsilimia 98 ya waandishi wa habari wa bongo wa sasa ni Vilaza sana kwa mambo mengi. Shule za kata ni majanga.
Nadhani ni 99.9% ni Vilaza na Wababaishaji wasioijua Lugha ya Kiswahili kwaufasaha, wanachanganya herufi "R" na "L" utasikia "Laisi afanya ziala Taboola..."πAsilimia 98 ya waandishi wa habari wa bongo wa sasa ni Vilaza
ITV/Radio One, ati ni Super Brand, my foot!Ni wajinga, wengi wanafikiri Indira Gandhi ana undugu na Mahatma Gandhi. Na pia waziri mkuu wa kwanza wa India ni Jawarhal Nehru ambaye ndo baba wa Indira. Indira ni waziri mkuu wa tatu wa taifa la India. Siamini kwamba tulianzisha uhusiano na India wakati yeye akiwa waziri mkuu. Lazima either tulianza kwa Nehru au Kwa Lal Bahadur.
Ajira za mchongoTatizo kubwa ni kuajiri waanfishi ambao si tu kwamba hawajui, bali hawajui kuwa hawajui, kama huyo kaka aliyekuwa akibisha.
Shule za kata si ndio msingi wa kujua kua unaweza pata hio habari kiganjani?? kama hulijui hilo utaanzaje kuingia kwenye simu ya kiganjani kutafuta habari.Ulimwengu wa sasa huwezi kulaumu shule za kata.
Ulimwengu uko KIGANJANI si kabla ya kusoma anaweza kutafuta taarifa sahihi mtandaoni?