Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata TBC kwenye taarifa ya habari saa 1 asubui 10.10.23 wameendeleza makosa toka itv na radio1 kwa kusema eti Tanzania na India wanaendeleza uhusiano ulioanzishwa na Nyerere na Mahtima Ghandi.Siku hizi ITV haina tofauti kubwa na TBC. Imekuwa inahabarisha kwa kujipendekeza kwa seriali.
Kwa mantiki hiyo ndio maana wanaandika habari kama hiyo lengo kumfurahisha Hangaya na timu yake bila kujali uhalisia wa habari yenyewe.
Wana haki ya kutangaza chochote? Hapana. Nakumbusha tu: ITV na Radio One ni vyombo vya habari.Hiyo siyo TBC wana haki ya kutangaza chochote
Walikuwa wanaburudishaWana haki ya kutangaza chochote? Hapana. Nakumbusha tu: ITV na Radio One ni vyombo vya habari.
Kazi ya vyombo vya habari ni kuhabarisha, kuburudisha na kuelimisha. Hapa kwenye kuhabarisha, waandishi wa habari wanaongozwa na ukweli na usahihi. Kinyume na hapo ni kujiondolea uaminifu kwa wasomaji/wasikilizaji.
Kitendo tu cha kuwekwa bandiko hilo hapa JF ni kudhihirisha hilo swala la kujiondolea uaminifu.
CC: Waandishi wa habari wote.
Kwa hivyo wako sawa, hasa kwa vile umeburudika.Walikuwa wanaburudisha
Wewe ndiyo inabidi ujiongeze...kwani kuanzisha mahusiano lazma watu hao wawili waonane? Mahatma Ghandi aliweka misingi ya India kushirikiana na mataifa mengine kupigania Uhuru..jambo ambalo mrithi wake aliendeleza kwahiyo msingi ni kutoka kwa Mahatma GandhiKatika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari(dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi...!!! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India( akishirikiana na kina Jarhawal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Mwenyewe si umesema kuhabarisha, kuelimisha na kuburudishaKwa hivyo wako sawa, hasa kwa vile umeburudika.
Na tueleze kwanza jinsia yakoHivi joy anamme?
Ndio mkuuMwenyewe si umesema kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha
Hii huwa inaniboa sana.Nadhani ni 99.9% ni Vilaza na Wababaishaji wasioijua Lugha ya Kiswahili kiufasaha wanachanganya herufi "R" na "L" utasikia "Laisi afanya ziala Taboola..."😁
Sasa mkuu mambo ya ITV dola inaingiaje ?Mhimili wa DOAL wa TAIFA HILI unadhalilishwaje kiasi hiki? Ni ulevi gani huu? Gomba, bangi, unga gani huu au chumvi gani ile? Simpo sana mbona? High heels, stills au tofauti na hapo haziendi na umbo tunaloliona. Sasa hao watu wetu wa protokali vepee? Ukuanzia hapo unapata taswira halisi from basics. Tumefikaje hapa! Wahini kila pahala? Hapana. Intelligence coup? Yes pathetic to the core.
bila shaka atakuwa Farhia ndo alikuwa anasoma.Mara kadhaa nishamshauri awe anapitia kabla ya kusomaKatika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari(dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi...!!! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India( akishirikiana na kina Jarhawal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Uchawa ukizidi mambo kama haya hujitokeza.ITV ya Sasa si Ile ya 1980s.Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari(dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi...!!! Hili lilirudiwa mara mbili.