Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijui taratibu za hicho chuo lakini mara nyingi vyuo vinatoa part-time kwa waajiriwa wa vyuo vingine vya serikali. Sasa nafikiri hawa wanatumia hao kwasababu ni cheap labour na wanaweza kufanya chochote maana wanajua hawana pa kwenda. Sasa Kama mtu hujamlipa mwaka unategemea hapo kunalolote kweli? Maana hapo watakuwa wanauza paper au kuwapendelea wanafunzi wenye pesa. Hao wanafunzi ndio watakuwa wanawaweka mjini. Hapo Kuna tatizo tena siyo dogo.Mkuu ukosefu wa ajira unawalazimu watu kunyanyasika kama hivi, sema wanafunzi nao lazima wananyimwa haki yao hamna mtu duniani atafanyiwa huo unyanyasaji na akafundisha kwa moyo.
Ni sawa na unamnyanyasa housegirl wako halafu yeye ndo unamtegemea kubaki na watoto lazma utegemee shida kwa watoto. Sasa huyu mkuu wa chuo hajali hilo.
Mkuu you are very right,mkuu wa chuo ni wa kutumbuliwa maana huwezi pata mwalimu wa maana ukamfanyia ujinga ,kwanza hata rate yao ya elfu 10 kwa saa hawezi kubali kupoteza muda wake, zamani walikua wanalipa rate nzuri na hapakua na tatizo sasa kaja mpolipoli kaona wanafaidi bila kuangalia athari kwa wanafunzi.Mkuu sijui taratibu za hicho chuo lakini mara nyingi vyuo vinatoa part-time kwa waajiriwa wa vyuo vingine vya serikali. Sasa nafikiri hawa wanatumia hao kwasababu ni cheap labour na wanaweza kufanya chochote maana wanajua hawana pa kwenda. Sasa Kama mtu hujamlipa mwaka unategemea hapo kunalolote kweli? Maana hapo watakuwa wanauza paper au kuwapendelea wanafunzi wenye pesa. Hao wanafunzi ndio watakuwa wanawaweka mjini. Hapo Kuna tatizo tena siyo dogo.
Serikali haiajiri mfanyakazi kwa part time ila kwa mkataba maaluma kama vile miezi 6, mwaka au miaka 6. Na kwa njia ya mkataba lazima huyu mfanykazi analipwa kila mwezi. Mfanyakazi wa part time ni makubaliano kati ya Taasisi na mafanyakazi mwenyewe. Kwa mfano, Engieer wa TANROADS anawezakukubali kufunidha DIT kama part timer baada ya kufanyakazi wa mwajiri wake (TANROADS), na baadaye anaenda DIT muda wa jioni kufanya kazi ya zaida waliokubaliana na Mkuu wa Taasisi hiyo. Kwa hiyo, hana malipo ya kila mwezi, angeweza kulipw ahata kila anapomaliza kufundisha au kwa wiki!Hizi taasisi za elimu ya juu zinajiendesha kwa kiasi fulani. Mzembe hapo ni mkuu wa chuo.