Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Habari wakuu,

Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa .

Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na kuopesha,

Kikawaida ktk ofisi yeyote kila cheo kinakuwa kina mtu, ili mtu apande cheo ni lazima aliyepo juu ashuke kisha wa chini apande, hapo .ndipo vita ilipo 😀

Kama unadhani masters au umahiri wq kuchapa kazi ndio kigezo cha kupanda cheo hapa Bongo basi niamini mimi kuna mambo mengi huyajui nyuma ya pazia

Huu ujumbe lengo lake ni kusanua watu wajue ukweli ulivyo, kama upo ofisi yeyote au ktk kampuni fanya research kuhusu hili jambo utabaki mdomo wazi.

Nakaribisha maswali na ushuhuda

Nawasilisha
 
Mfano nimeishia La 7 mganga anaweza kunifanya nikachukua nafasi iliyoachwa na faustine ndungulile?
Kuna wabunge ni darasa la saba kwani hujui mkuu?

Kuna watu wana PhD ila wakisimama na mtu wa la saba anakula shavu

Kuna mambo mengi nyuma ya pazia
 
Si kwenye sekta ya udereva tunaenda course VIP hapo NIT, nayo unatushaurije?
 
Ila nyongeza. Ili upande cheo sio lazima Boss ashuke cheo Maana Pia Boss wako anaweza kupanda cheo zaidi na wewe ukapanda cheo kwenye nafasi yake.

Pia kama kuna ulimwengu au ufalme wa Giza.
Basi kuna ufalme wa Mungu wenye nguvu zaidi ya ufalme wa Giza.
 
Habari wakuu,

Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa .

Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na kuopesha,

Kikawaida ktk ofisi yeyote kila cheo kinakuwa kina mtu, ili mtu apande cheo ni lazima aliyepo juu ashuke kisha wa chini apande, hapo .ndipo vita ilipo 😀

Kama unadhani masters au umahiri wq kuchapa kazi ndio kigezo cha kupanda cheo hapa Bongo basi niamini mimi kuna mambo mengi huyajui nyuma ya pazia

Huu ujumbe lengo lake ni kusanua watu wajue ukweli ulivyo, kama upo ofisi yeyote au ktk kampuni fanya research kuhusu hili jambo utabaki mdomo wazi.

Nakaribisha maswali na ushuhuda

Nawasilisha
Naogopa kupata maendeleo

Mganga awe na sifa Gani!?

Mpole au Mkali

Kabila Gani (Ana mtoto wa kabila lake nafanya naye kazi)

Awe amesoma au Hajasoma!?

Awe mwislamu au mkristu

Awe Msafi au Mchafu

Awe anapenda maendeleo au mpinga maendeleo
 
Ni ushamba tu mimi nilishakataa cheo kazini na sitaki cheo chochote boss alienda masomoni nikataka kuachiwa mimi ofisini nikakataa nikaitwa nikaelezea sababu zangu wakanielewa ila kishingo upande nafanya majukumu baadhi lakini I'm not responsible 100%.

Leadership is an event many people arrives late or before the event.

Lakini vitabu pia vimeniharibu sana nimesoma kitabu cha Robbin sharma "Leaders who had no title " na vingine vingi hauhitaji cheo ili kuleta mabadiliko kwenye jamii.

Martin Luther
Nelson Mandela
Malala

Hao wamefanya mambo makubwa duniani bila kuwa na cheo.

Don't lead inspire.
 
Mkuu hongera

Mabadiliko yanaanzia kwenye mtazamo
 
Habari wakuu,

Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa .

Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na kuopesha,

Kikawaida ktk ofisi yeyote kila cheo kinakuwa kina mtu, ili mtu apande cheo ni lazima aliyepo juu ashuke kisha wa chini apande, hapo .ndipo vita ilipo 😀

Kama unadhani masters au umahiri wq kuchapa kazi ndio kigezo cha kupanda cheo hapa Bongo basi niamini mimi kuna mambo mengi huyajui nyuma ya pazia

Huu ujumbe lengo lake ni kusanua watu wajue ukweli ulivyo, kama upo ofisi yeyote au ktk kampuni fanya research kuhusu hili jambo utabaki mdomo wazi.

Nakaribisha maswali na ushuhuda

Nawasilisha
Punguza bangi na pombe.
 
Movi - Mtoto wa Mganga kaninyea mdomoni - Kasambaza news nisifanikiwe itatoka tarehe 23/12/2025

Back
Top Bottom