Kuna watu hawana sifa za kielimu anakaimu mpaka anastaafu mana kule juu wamasahau kupeleka mwenye vigezo kwa sababu anaroga sanaKuna wabunge ni darasa la saba kwani hujui mkuu?
Kuna watu wana PhD ila wakisimama na mtu wa la saba anakula shavu
Kuna mambo mengi nyuma ya pazia