U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 2,652 Reaction score 4,593 Dec 16, 2024 #21 OMOYOGWANE said: Kuna wabunge ni darasa la saba kwani hujui mkuu? Kuna watu wana PhD ila wakisimama na mtu wa la saba anakula shavu Kuna mambo mengi nyuma ya pazia Click to expand... Kuna watu hawana sifa za kielimu anakaimu mpaka anastaafu mana kule juu wamasahau kupeleka mwenye vigezo kwa sababu anaroga sana
OMOYOGWANE said: Kuna wabunge ni darasa la saba kwani hujui mkuu? Kuna watu wana PhD ila wakisimama na mtu wa la saba anakula shavu Kuna mambo mengi nyuma ya pazia Click to expand... Kuna watu hawana sifa za kielimu anakaimu mpaka anastaafu mana kule juu wamasahau kupeleka mwenye vigezo kwa sababu anaroga sana
GooglTVAD JF-Expert Member Joined Apr 16, 2020 Posts 231 Reaction score 362 Dec 16, 2024 #22 Kwenye hii nyumba ya Mganga wa Kienyeji kukusaidia Kupanda Cheo kwenye nchi yoyote Africa naomba niibe/nichukue pasi tu Tumegawana vizuri majukumu
Kwenye hii nyumba ya Mganga wa Kienyeji kukusaidia Kupanda Cheo kwenye nchi yoyote Africa naomba niibe/nichukue pasi tu Tumegawana vizuri majukumu
GooglTVAD JF-Expert Member Joined Apr 16, 2020 Posts 231 Reaction score 362 Dec 16, 2024 #23 Kwenye hii nyumba ya Mganga wa Kienyeji kukusaidia Kupanda Cheo kwenye nchi yoyote Africa naomba niibe/nichukue pasi tu Tumegawana vizuri majukumu
Kwenye hii nyumba ya Mganga wa Kienyeji kukusaidia Kupanda Cheo kwenye nchi yoyote Africa naomba niibe/nichukue pasi tu Tumegawana vizuri majukumu