Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

Sawa seremala wame kusikia lakini kusoma sio sifa au maji ya kunywa ndo maana ukufaulu
 
Mie mwenyewe ukikaa vibaya nakuchana kwa sababu nyie ambao hamjaenda shule mnapenda ubishi sana. Juzi hapo nabishana na mtu kuhusu balance diet ananifundisha wakati hajui halafu hataki kujua anatak abak na ubishi wake...
Wasomi wa mchongo mnajimwambafai sana mpaka mnaharibu 😂 😂

Sio balance diet ni balanced diet .. sasa hata wewe hujui vizuri unapata wapi jeuri ya kuwaambia wengine hawajui,

pia one size does not fit for all, ambao tuna elimu ya chini huwezi kutu generalize kwamba kila kitu atachofanya flani basi wengine wte wanafanya.. it's such a poor way to see people considering that unaji mwambafai umesoma ila inaonyesha ni wazi kabisa hujaelimika.
 
Sawa seremala wame kusikia lakini kusoma sio sifa au maji ya kunywa ndo maana ukufaulu
 
nina gari, dstv ninayo, najenga kiota, wazazi nawatumia milioni kila mwezi, nalipia bando la internet gb 100 kila mwezi na bando la mawasiliano elf 30 kila mwezi..

tatizo lipo wapi ?
Nijibu tu vizuri swali nililo kuuliza wala sina nia mbaya I'm about to be inspired Mkuu
1. Unamiliki gari gani?
2.utajiri wako unathamani ya TZS ngapi?
 
Wasomi wa mchongo mnajimwambafai sana mpaka mnaharibu 😂 😂

Sio balance diet ni balanced diet .. sasa hata wewe hujui vizuri unapata wapi jeuri ya kuwaambia wengine hawajui,

pia one size does not fit for all, ambao tuna elimu ya chini huwezi kutu generalize kwamba kila kitu atachofanya flani basi wengine wte wanafanya..
Wewe umeona umenikosoa hicho ki d ambacho hakikiwepokwa sababu ya typo 🤣🤣🤣 umeshindwa kwenda shule huwezi ukapiga kelele utabaki tu kuwa wa form four

Kitendi Cha mtu kwenda chuo hata kama kafeli bado huwezi fananisha na elimu ya form four. .

Kifupi ni hivi elimu ya chuo ndio elimu ndogo kwa sasa watu wanatakiwa wawe na master's na PhD. Form four Hana tofauti na standard seven. .
 
nina gari, dstv ninayo, najenga kiota, wazazi nawatumia milioni kila mwezi, nalipia bando la internet gb 100 kila mwezi na bando la mawasiliano elf 30 kila mwezi..

tatizo lipo wapi ?
Mali hizi ndio zinakupa jeuri kujilonganisha na watu kumbe🤣🤣 kaza buti dogo bado uko nyumba japo unajitajidi ila bado sana. Kwa mda ambao umeacha kwenda chuo nikajua utakuwa mbali kweli🤣
 
Nijibu tu vizuri swali nililo kuuliza wala sina nia mbaya I'm about to be inspired Mkuu
1. Unamiliki gari gani?
2.utajiri wako unathamani ya TZS ngapi?
Usiwe inspired na mali za mtu, Utajiri wa kwanza hapa duniani ni akili, These materialistic things that can be bought arent such substantive in terms of utajiri.

Never confuse akili and uwezo wa kumeza vitini darasani, vitu viwili tofauti sana,
 
Kwa taarifa tu! Wewe haujaishia form 4. Elimu yako ni ya chuo kikuu, ila unaishi masha simple kitaa kama unavyojinasibu!

Kuna wataalamu wa kubaini namna ya upangiliaji wa hoja, misamiati unayotumia, uunganishaji wa sentensi nk!

Yote kwa yote! Si vyema kuishi kwa kujiona umeyamaliza maisha kisa umesoma!
 
Acha kujifariji kaka.
Alosoma ata kama hana ajira ni tofauti kabisa na sie ma zero brain.
 
Ni kwamba mtu alieishia form 4 au darasa la saba hawezi ???

Hizi ndio dharau ambazo zinaonyesha wazi kabisa baadhi ya wasomi elimu hazijawasaidia.

Kuna watu kibao tu hata hawajasoma na wanajua kuongea kistarabu, kihekima na kwa busara kuzid hata wenye masters..
 
Sasa kuna ulazima gani wa kudanganya kwamba umeishia form 4 wakati siyo! Kwani kuna ubaya gani kutoa maoni bila kudanganya!

Hata mimi binafsi siungi mkono dharau!

Wewe haujaishia form 4!
 
Usiwe inspired na mali za mtu, Utajiri wa kwanza hapa duniani ni akili, These materialistic things that can be bought arent such substantive in terms of utajiri.

Never confuse akili and uwezo wa kumeza vitini darasani, vitu viwili tofauti sana,
Ungeenda tu shule mkuu ona sasa kumbe kweli akili imelala, fanya ukapigwe msasa mkuu elimu ni muhimu ndo maana mmiliki wa Facebook alirudi chuo pamoja na pesa zake?

Nb. Hata wapumbavu hupata riziki,kagari ka mtumba na mbao sio kipimo cha akili. Limbukeni wewe.
 
Acha kujifariji kaka.
Alosoma ata kama hana ajira ni tofauti kabisa na sie ma zero brain.
Very arrogant fellow, Jua kutofautisha akili na uwezo wa kujibu mtihani darasani.
 
Unaweza ukasoma sana pia utadhataulika kama Huna Hela. Mwenye Hela ndio anaongoza kwa dharau Hawa wasomi feki hebu tuwaache maana wasipojisikia kwa kisomo Chao basi Hawana Cha kujisifia wataonekana wapo wapo tu. .

Mie mwenyewe ukikaa vibaya nakuchana kwa sababu nyie ambao hamjaenda shule mnapenda ubishi sana. Juzi hapo nabishana na mtu kuhusu balance diet ananifundisha wakati hajui halafu hataki kujua anatak abak na ubishi wake...

Unakuta jitu halijui alafu linakwambia niache navyokua Mimi inauma sana elimu yangu Nampa Bure kabisa alafu halitaki ..
kinachowasumbua watu dizaini hiyo ni uelewa mdogo wa mambo
 
Ungeenda tu shule mkuu ona sasa kumbe kweli akili imelala, fanya ukapigwe msasa mkuu elimu ni muhimu ndo maana mmiliki wa Facebook alirudi chuo pamoja na pesa zake?
Huwezi kunidanganya chohote kwenye ulimwengu huu wenye internet, mmiliki wa facebook alipewa tu honorary degree kama ilivyokuwa kwa bill gates, wala hakuingia darasani...

Naona umesoma lakini hata internet huwezi kutumia,

1667938165259.png
 
kinachowasumbua watu dizaini hiyo ni uelewa mdogo wa mambo
Wivu tu kuoma mtu kaenda shule. Mara nying wasomi hawatumiki katika jamii hii ni shida.
Mdogo wangu doctor mzuri sana dogo Mungu kampa kipaji Cha pekee ila ukiona mda mwingine anaweza fundisha hata mambo ya uzazi kwa masister au ndugu wanamgomea eti wao wameenda labor wanajua Zaid 😊
Usipokubalika huwezi kutoa msaada kwa jamii
 
Uwezo wa kujibu mtihani nayo ni hatua.
Wengi tumeshindwa.
samaki ana mwendo wa kuogelea, farasi ana mwendo wa kukimbia, njiwa ana mwendo kwa kupaa .. elimu ni mwendo na huwezi kusema kisa samaki hawezi kukimbia kama farasi basi hawezi kuwa na mwendo.
 
Back
Top Bottom