Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT.
Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii ni kufuru kubwa mbele za Mungu.
Kila siku watawala wapo busy kutengeneza mazingira ya kugukuza amani, halafu wanasema watu wamwombe Mungu alete amani!! Huku ni kumjaribu Mungu wa Mbinguni, huku ni kukufuru utukufu na ukuu wa Mungu.
Wewe uteke, uue watu, halafu unaomba Mungu alete amani!
Wewe ufanye ufisadi, halafu unaomba Mungu alete amani!
Wewe uwaue na kuwabambikia kesi wanaoitafuta haki uliyoipora, halafu unaomba Mungu alete amani!
Wewe upore haki za watu kuwacjagua viongozi wanaowataka, utengeneze uchaguzi wa maigizo, halafu umwomve Mungu alete amani!
Tambueni Mungu siyo mtani wenu. Kwa sababu mmemfanya kuwa mtani wenu, siku si nyingi mtayapata majibu yake.
NB: Wana wa Mungu, tambueni kuwa Mungu wetu, ni Mungu wa haki. Tujitahidi wakati wote, kuanzia kwenye familia zetu mpaka ngazi ya Dunia, tutende haki, tupambane na tupaze sauti dhidi ya wadhulumaji wa haki, tuwe sauti ya wale wasio na sauti ambao wanadhulumiwa nchini mwetu, kwenye jamii zetu, na Duniani kwa ujumla. Usidhulumu haki ya mtu wala usiwe mnafiki kwa sababu ya malipo ya pesa au cheo. Pesa na vyeo vitapita, lakini utukufu wa Mungu ni wa milele. Itafuteni haki na tendeni haki.
Mt 5: 8-10.
"Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao"