Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
si ndio vise vesa inatake place
tunabadilishana mazima!
utapewa kadi ya mwaliko
walitegemea watatukuta eti, twende shemeji masaa yana kwenda
twen zetu bana
Shemeji nawe mtundu, haya mambo mazuri ulijifunzia wapi
unyagoni shemeji yangu
abee shemeji
Nile shemeji
vunga wewe!
tugambeke kwanza mengine
yatatokea automatically
ndo hivyo shem
Haya twende bana tukachukue, ila tunakuja kunywea chumbani au unaonaje?
poa shem usijali
nami pia nakupenda shemeji
Nafurahi kua na shemeji mzuri kama wewe jamani!