Ujumbe Maalumu Kwa Watu Maalumu! Why Do You Judge, "Judgement" ?

who is judging the judged Judgement judge? shikamoo
 
Last edited by a moderator:
Jamani my Judgement, ni nini tena?? Hebu nijuze laazizi wangu.

My lav kuna vijamaa viwili, nimevikimbia twitter vimenifata huku! But it's dosen't big issue!
A wiseman once said even a Fish wouldn't get caught if he kept his mouth shut!
 
Last edited by a moderator:
atanteeeeee shem wangu
inatiririka mpaka kumoyo!

Shem!
Hiyo "tanteee" ni kiashiria ulabu ushakukolea!
Kinachofata sasa afta wimbi-deki inkuluding bwaksi plas tingas mixing keroro!
Acha nifunike kikombe kinda lisilo na Baba maalumu lipite!
 
Na bora upite utuwache tufanye mambo yetu kwa uhuru wetu kwenye pembe nne
Shem!
Hiyo "tanteee" ni kiashiria ulabu ushakukolea!
Kinachofata sasa afta wimbi-deki inkuluding bwaksi plas tingas mixing keroro!
Acha nifunike kikombe kinda lisilo na Baba maalumu lipite!
 
Na bora upite utuwache tufanye mambo yetu kwa uhuru wetu kwenye pembe nne

Tangu hapo natambaa mitaa ya mbele!
Najua mambo ya vijana hawakawizanagi samtaimz hata majanini ntu anapeanwa!
 
Erickb52 omba Mungu Bishanga asikusikie. PATACHIMBIKA AISEE.

Hivi wajua kama Bishanga kati ya 32 kinywani kumi na ushee keshango'a?
Hana ubavu kwa @52 !
Hata akibweka ni kama tule tu'mbwa tufupi twenye manyoya mengi vijibwa-urembo!
Hata mi nnako kamoja natembeaga nako garini siti ya nyuma! Haviwezagi safari za rege!
 
Last edited by a moderator:

Judgement nini tatizo? Nani kakukwaza?
 
Last edited by a moderator:

Judgement nini tatizo? Nani kakukwaza?
 
Last edited by a moderator:
shem una maneno wewe
ndio maana wanaku judge!
mambo ya manoah hayo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…