Ujumbe mzito toka kwa Ansbert Ngurumo kwa upinzania, sikilizeni na tafakari

Chadema mkiona kuna mtu anataka kukivuruga chama fukuzeni mapema kabla hajawa kirusi ,kaondoka Mchungaji feki Msigwa mambo yapo fresh ,kaondoka Dr Slaa mambo bado mswano ,chama siyo mtu.
Mambo gani mswano hata wagombea mmeshindwa kusimamisha nchi nzima
 
Huyo kibaraka arudi nchini tujenge nchi kwa pamoja. Unaweza kumsikiliza mtu mvivu km huyo anayetegemea fadhila za wazungu Kibaraka la wazungu hilo
 
Tundulissu aache kudharau wenzake kwa kigezo cha umaarufu wake
 
Umemsikiliza Ngurumo? msikilize vema....... Lisu haezi kutengwa, awe macho na hao wanaompigia makofi kumtaka eti aanzishe chama chake kama mrema....msikilize ngurumo
Lissu ni mkubwa kuliko Chadema na Mbowe wake
 

Attachments

  • LISSU3.jpg
    529.6 KB · Views: 2
Ni ujumbe kuntu kabisa huu. Nawashauri viongozi wa Chadema hasa Mwenyekiti Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu wakae waone namna ya kufanya damage control ya kinachoendelea sasa ndani ya Chadema. Tuhuma anazotoa Tundu Lissu zina mashiko na kama zikafanyiwa kazi na Chama kikaja na tamko la pamoja la jinsi gani zimefanyiwa kazi na wakosaji wakashughulikiwa chama kitapona. Kukaa kimya kwa Mwenyekiti akiamini kuwa tuhuma hizi zitapita kama upepo ni kujidanganya.

Na kwa upande mwingine Tundu Lissu kuendelea kutupa mawe haya japo yana ukweli ajue kwamba anaifanyia kazi kubwa CCM ya kuimaliza Chadema tena bila ya malipo yoyote. Nimeona hata hapa jukwaani jinsi anavyoshangiliwa na wana CCM siyo kwa vile wanampenda bali kwa vile anawasaidia kufanya kazi ambayo imekuwa ngumu kwao kwa muda mrefu tena kwa gharama kubwa sana lakini haikuzaa matunda tarajiwa, lakini kwa hali iliyofikia ni kama wamerahisishiwa kazi kwani kazi hiyo inafanywa na Chadema wenyewe.

Nasikitika sana kama Tundu Lissu halioni hili kuwa anawasidia watesi wake kuimaliza Taasisi ambayo ameshiriki kuijenga kwa damu na jasho lake. Kwa msimamo wake wa kuyasema anayosema hadharani na kwa ukimya wa Mwenyekiti bila kukalishana chini na kuweka msimamo wa pamoja naona kabisa Chadema ikifuata njia ya NCCR Mageuzi.
 
Tundu Lissu yupo sahihi, endapo kama utakuwa mtu mkweli katika nafsi utakubaliana na Ukweli huu. Kwa maoni yangu, Tatizo naliona lipo kwa Mwenyekiti wao wa Chama Bw. Freeman Mbowe ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba anashiriki kukidhoofisha chama Chao kwa kuendekeza 'fedha za rushwa' kutoka kwa chama tawala. Siyo Siri hata kidogo, Mbowe amekuwa ni mtu ambaye Hana misimamo kabisa kuhusiana na suala la dira au mwelekeo wa chama hicho kwa Sasa. Inavyoonekana kama vile Mbowe 'ametulizwa' na chama tawala ili kukidhoofisha chama chake.
Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote
 
Ndugu you are very intelligent...kumbe bado tupo members ambao tunaweza kujadili kwa heshima na utulivu.Ahsante sana
 
Erythrocyte PLEASE SOMA ANDIKO HILI LA CHIEF PRIEST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…