Ujumbe mzito wa Majizzo kwa Kitenge, Hando, Bdozen na Oscar Oscar

Atafute vijana wapya, wakongwe achane nao
Wasikilizaji wa redio na watazamaji wa tv wengi wanafuata na kupenda watangazaji wenye majina makubwa. Inahitaji mda sana kwa vijana wapya kukubalika.
Kwahiyo zote ni za kusaga?
Ndo maan alienda likizo ya siku tatu na mama G kupumzisha fuvu kwanza
😅
Mbona watanzania mna chuki chuki sana?
KIvip ?
 
Aisee nimefurahi kuona masanja Leo kanogesha Sana kipind kuliko hata akina kitenge
Joto la asubuhi ni kipindi kimoja kizuri sana redioni. Kipindi changu pendwa kabisa redioni napenda wanavyochambua na kujadili habari mbalimbali. Hapa kitenge na hando waliniteka hasa kwenye kunyamvua na kunyumbulisha
 
Mie hawa naona wanafanya drama za kibiashara, kati ya EFM na WASAFI, wala hawako serious hivyoo.
Kuna usiriaz kwa hili. Ile movement ya kitenge ya awali kidogo niliamini ni drama ila hii ni picha tena picha la kutisha kuondokewa na watu wanne kwenye familia sio mchezo.

Naomba tu jonijoo asisepe
 
Kuna usiriaz kwa hili. Ile movement ya kitenge ya awali kidogo niliamini ni drama ila hii ni picha tena picha la kutisha kuondokewa na watu wanne kwenye familia sio mchezo.

Naomba tu jonijoo asisepe
Walaa hata hawako serious hawa, ni dramaa tyuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…