Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Hii imekaa poa sana, huwezi sema Clouds wamemchukua Dozen. Kijana karudi nyumbani.Dozen karudi alipolelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekaa poa sana, huwezi sema Clouds wamemchukua Dozen. Kijana karudi nyumbani.Dozen karudi alipolelewa
Kitenge si ndio michezo yake hiyo, soon anarudi EFM.2025 utashangaa tena wanaondoka wasafi wanakwenda EFM.
Kinaoneshwa saa ngapi kesho nikiangalie?Aisee nimefurahi kuona masanja Leo kanogesha Sana kipind kuliko hata akina kitenge
Hapo alitikisa kiberiti, hando yupo vizuri sana kwenye mijadalaKuhusu Gerald Hando, ni yeye mwenyewe ndiye kazingua.
Haijafahamika badoHuyo b dozen kaenda wapi Tena?
Masanja kaziba nafasi ya Kitenge vizuri kwenye kusoma magazeti, pia Twalibu Muwa kaziba vizuri pia nafasi ya Oscar Oscar katika Jioni ya Leo.Aisee nimefurahi kuona masanja Leo kanogesha Sana kipind kuliko hata akina kitenge
Wasikilizaji wa redio na watazamaji wa tv wengi wanafuata na kupenda watangazaji wenye majina makubwa. Inahitaji mda sana kwa vijana wapya kukubalika.Atafute vijana wapya, wakongwe achane nao
Kwahiyo zote ni za kusaga?chunguzeni kwa umakini hizi redio tatu Clouds fm,wasafi, Efm zipo chini ya boss mmoja. wanachofanya ni marketing strategy tu . unapaswa kuwa makini sana kuamini haya.
ni suala la muda kuwa wengine watasepa wasafi kwa stori za kubumba wataenda kujoin clouds na wasafi fm
😅Ndo maan alienda likizo ya siku tatu na mama G kupumzisha fuvu kwanza
KIvip ?Mbona watanzania mna chuki chuki sana?
Joto la asubuhi ni kipindi kimoja kizuri sana redioni. Kipindi changu pendwa kabisa redioni napenda wanavyochambua na kujadili habari mbalimbali. Hapa kitenge na hando waliniteka hasa kwenye kunyamvua na kunyumbulishaAisee nimefurahi kuona masanja Leo kanogesha Sana kipind kuliko hata akina kitenge
Kuna usiriaz kwa hili. Ile movement ya kitenge ya awali kidogo niliamini ni drama ila hii ni picha tena picha la kutisha kuondokewa na watu wanne kwenye familia sio mchezo.Mie hawa naona wanafanya drama za kibiashara, kati ya EFM na WASAFI, wala hawako serious hivyoo.
SI KWELIAisee nimefurahi kuona masanja Leo kanogesha Sana kipind kuliko hata akina kitenge
💯🤝Wasikilizaji wa redio na watazamaji wa tv wengi wanafuata na kupenda watangazaji wenye majina makubwa. Inahitaji mda sana kwa vijana wapya kukubalika.
SI KWELIMasanja kaziba nafasi ya Kitenge vizuri kwenye kusoma magazeti, pia Twalibu Muwa kaziba vizuri pia nafasi ya Oscar Oscar katika Jioni ya Leo.
Walaa hata hawako serious hawa, ni dramaa tyuuhKuna usiriaz kwa hili. Ile movement ya kitenge ya awali kidogo niliamini ni drama ila hii ni picha tena picha la kutisha kuondokewa na watu wanne kwenye familia sio mchezo.
Naomba tu jonijoo asisepe
Jamaa ana watu wengi sana ila bado wasafi inapwayaMond angemchukua na Dozen kabisa. Ijapokuwa jamaa ni punga lakini ana fanbase kubwa angeleta wasikilizaji wengi pale usafini
TanescoBuza Ipi Kwa Mama Kibonge, Buza Kanisani, Kwa Mpalange, Makangarawe
Hahaha drama tenaMie hawa naona wanafanya drama za kibiashara, kati ya EFM na WASAFI, wala hawako serious hivyoo.