Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Amekukosea nini? Uanzishe hiyo kampeni kwa kosa lipi?

Acha kua na mawazo ya kimasikini,mkiona mtu kanyanyuka kidogo tu mnaumia,

Hapo unatamani ashuke ili awe kama wewe badala ya wewe kutamani upande juu uwe kama huyo Fred.
Kwann ney amseme kwalugha hiyo, tunahitaji kuona tunamabilionea wenye busara bana....Mimi sio masikini usinilinganishe na familia yetu tafadhari ukwasi hapo upo....bilionea gani au tajiri gani anadalilj zote zakufa na ukimwi
 
Pole sana aisee.
 
Tunahtaji kua na matajiri wanaoheshimu jamii inayowazunguka ,sio kuaza kuichonganisha....jiulize ney kwann aandike ujumbe huo vunjabei aliandika nn
Alichoandika Vunja bei kinachonganisha nini?upi ubaya wa alichoandika?!!

Screenshot_20210709-204953_Instagram.jpg
 
Tunahtaji kua na matajiri wanaoheshimu jamii inayowazunguka ,sio kuaza kuichonganisha....jiulize ney kwann aandike ujumbe huo vunjabei aliandika nn
Fredy akienda hivi hatakuwa na tofauti na Mtandale na utajiri wake utaonekana hauna mashiko! Huwezi kukuta Mo anaandika upuuzi namna hii kwenye page yake 😅😅😅
 
Hilo ndojambo umeridhika sana kwatajiri kuandika hivo.inawezekana nikawa naongea na mwanamke pia ,kama wewe nimwanamke ujumbe huo usiutumie katika maisha yako.
Huwa sichukui vitu personal,huwa sichangii kitu eti sababu ya jinsia yangu...naandika nachosimamia

Labda kama wewe umechukulia personal kwasababu huna pesa,hupendi kuombwa pesa na mwanamke wako ama sababu nyingine youote

Ukichukulia tu kiujumla...alichokiandika vunja bei kina ubaya gani hadi ufikirie kampeni uliyofikiria?
 
Back
Top Bottom