PostGE2025 Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC leo Novemba 5, 2025

PostGE2025 Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC leo Novemba 5, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
 
ICC ikimkamata Netanyahu ntakubali, Dick Cheney, Tony Blair, George W Bush mpaka wanafika miaka 80 bado ICC haijawagusa. ICC is a toothless organization, iko kwaajili ya kufunga vidikteta vilivyonyofolewa tayari madarakani na vimezeeka tayari
 
Umemsahau yule mzungu mjeuri aliyefia kwenye mikono ya ICC? KUTOKA iliyokua Yugoslavia
 
Hawa watu kama wameweza kuua mamia ya watu ili tu waendelee kukaa madarakani hawakosi kutoa rushwa ya migodi yote ya Tanzania kwa ICC.
 
Back
Top Bottom